cutebulbul4
Member
- Sep 9, 2014
- 45
- 1
habari mie naomba kujua hii mikopo ina aslimia ngapi ya riba, isiwe tunashangilia kuipata wakati wa kulipa tukalia, kwa mfano umekopeshwa million 4 utalipa million ngapi?
sstr unalipa only ada uliolipiwa.simply mtu aliyepata mkopo na ada kalipiwa 00% then halipi kitu,ila wengine utalipa kile kiasi ambacho heslb wamekulipia ktk ada.ikumbukwe kwamba hela ya chakula na malazi, books and stationary,special faculty requirement na field practical training HAZILIPWI.Pia kwa watu wa medical pesa upewayo haulipi chochote

waache warukeruke tu. Waende kuwa masharobaro kwa hela ya mkopo!jaman mie nmeona watu wanakatwa hela yote walopewa hzo meals and acomodation zote kwenye salary sleep kaandikiwa deni la milion 13. Unavyosema unarudisha ada tu nakushangaa
sstr unalipa only ada uliolipiwa.simply mtu aliyepata mkopo na ada kalipiwa 00% then halipi kitu,ila wengine utalipa kile kiasi ambacho heslb wamekulipia ktk ada.ikumbukwe kwamba hela ya chakula na malazi, books and stationary,special faculty requirement na field practical training HAZILIPWI.Pia kwa watu wa medical pesa upewayo haulipi chochote
Na je kulipa huo mkopo unatakiwa ulipwe kwa miaka mingap baada ya
Hahahaaa daaah ama kweli na mavijanaa ya bank, ni shughuliwee zinalipwa,kwani wanafunzi ni BMK?,fedha kama ya meal allowance watu huikumbuka na kujutia walivyokuwa wakiitafuna hovyo! unatakiwa kula dola 2.25 kama mtanzania mjanja kiasi kinachobaki kodi shamba ata moro ulime mboga,mahindi viazi,nk sio kununua sub woofer,kumiliki totoz,pamba kuzidi ata za baba a.k.a mkulima na out kama umezaliwa mbele,ajira zenyewe hamna ukirudi kitaa utachekwa,ukipata kazi take home ndogo mavijanaa wa bank wanaanza kukata za muzeya papaa hezelbe(heslb)
sstr unalipa only ada uliolipiwa.simply mtu aliyepata mkopo na ada kalipiwa 00% then halipi kitu,ila wengine utalipa kile kiasi ambacho heslb wamekulipia ktk ada.ikumbukwe kwamba hela ya chakula na malazi, books and stationary,special faculty requirement na field practical training HAZILIPWI.Pia kwa watu wa medical pesa upewayo haulipi chochote
Naomba na mimi kujuahabari mie naomba kujua hii mikopo ina aslimia ngapi ya riba, isiwe tunashangilia kuipata wakati wa kulipa tukalia, kwa mfano umekopeshwa million 4 utalipa million ngapi?
Si kweli kabisa,sstr unalipa only ada uliolipiwa.simply mtu aliyepata mkopo na ada kalipiwa 00% then halipi kitu,ila wengine utalipa kile kiasi ambacho heslb wamekulipia ktk ada.ikumbukwe kwamba hela ya chakula na malazi, books and stationary,special faculty requirement na field practical training HAZILIPWI.Pia kwa watu wa medical pesa upewayo haulipi chochote
Mkuu bila shaka wewe una degree ya SUAUtakatwa kila kitu walichokupa na pia ukichelewa kuanza kulipa wanakuwekea penalty....yaani utalipa.
Mfano; mm ada ilikuwa 1,263,000 kwa mwaka mmoja na walinipa Mara tatu (kwa miaka mitatu).... Deni lao walilokuwa wanadai ni milioni kumi na tano (15) na vilaki huko mbele. Kwahiyo kuwa makini ndugu wale HESLB sio watu wazuri....kama una pesa zako we jisomeshe kwa kujibana tu....kuna rafiki yangu wa kike alikuwa anasoma mzumbe hakuna hiyo mikopo tukawa tunalindana kiaina, kwao wakawa wanauza mashamba ili walipe ada....saizi namuona yeye ndiye mjanja kuliko Mimi.....hatari!. Usicheze na loan board wewe