Rias Bora ukanda wa Afrika Mashariki ni Nani?

Rias Bora ukanda wa Afrika Mashariki ni Nani?

Uhuru Kenyatta ndio the best

magufuli alikuwa na nafasi ya kuwa bora hakuitumia akaiharibu rekodi yake na ya Tanzania pia
 
Uhuru Muigai Kenyatta. Big 4 agenda na handshake of unity ,muendelee vivyo hivyo.
 
Ni kweli JPM yupo juu kwa umbumbumbu, PHD HOLDER
[emoji116]
1.intreprilinyushipu
2.Air hostage
Na kupora dola za maskini kwenye maduka yao kwa hili yupo juu, na akawa mawinguni baada ya kumzalisha mama yako, Hahahahah....


Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga kama wewe unaakili japo nusu ya JPM mbona umeshindwa hata kuwa mwenyekiti wa nyumba kumi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom