Riafande rinapofukuzia demu

Riafande rinapofukuzia demu

zaleo

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,902
Reaction score
766
From Yahoo friends

Unajua nakuthamini zaidi ya rushwa na posho!

Bira ya wewe mimi siwezi kuishi, ni sawa na kukosa bunduki eneo ra tukio.

Nakuheshimu kama ninavyoheshimu rindo.

Wewe ndio IGP wa moyo wangu.

Mbona upo kimya? Nina RB ya penzi rako, nijibu nifungue jarada rako ndani ya moyo wangu.

Usifanye moyo wangu ukaenda mbio kama difenda mpya.

Nakuhakikishia ntakuwekea usarama kama msafara wa Rais.

Usiniweke roho juu kama maandamano ya CHADEMA.

Nijibu poti...
 
Duh!, sasa ni majibu gani atapata kama anafukuzia demu ambae ni polisi pia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom