Kali ya Ijumaa: Swaga za Polisi anapofukuzia demu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kali ya Ijumaa: Swaga za Polisi anapofukuzia demu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mzalendo JR, Oct 12, 2012.

 1. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Unajua nakuthamini zaidi ya rushwa na posho!

  Bira ya wewe mimi siwezi kuishi, ni sawa na kukosa bunduki eneo ra tukio.

  Nakuheshimu kama ninavyoheshimu rindo.

  Wewe ndio IGP wa moyo wangu.

  Mbona upo kimya? Nina RB ya penzi rako, nijibu nifungue jarada rako ndani ya moyo wangu.

  Usifanye moyo wangu ukaenda mbio kama difenda mpya.

  Nakuhakikishia ntakuwekea usarama kama msafara wa Rais.

  Usiniweke roho juu kama maandamano ya CHADEMA.

  Nijibu poti...

  Source: wavuti.com - wavuti
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Umenipunguzia stress za yule aliyekojolea msahafu
   
 3. N

  Nyakawaga Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  du! ipo powa,jamaa lazima atakuwa aling'oa.
   
 4. Mtukuru

  Mtukuru Senior Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :rockon::rockon::rockon::rockon::rockon:
   
Loading...