Mantombazane
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 579
- 367
Kitaaluma makosa hayo ni makubwa sana. Kwa akili ya mtaani linaweza kuonekana jambo dogo na hata kukosa mchango humu JF.
Umesema kweli mkuu naaamini uongozi wa rfa na redio nyingine wanaingia humu cha muhimu wajirekebishe na wasirudie hili kosa.
Kuna siku watakutana na watu waliopinda wawafungulie kesi za madai ya kuchafuliwa majina, hapo ndo akili zao zitapata akili..!
Huo si uungwana....ila nmependa id yako
Asante. Asili yake ni Matombo kule MorogoroHuo si uungwana....ila nmependa id yako
Karibu Matombo mkuu!Aiseeeee