Revised question: Kosa la Gwajima ni lipi?

miongoni mwa makosa yake ni kuendekeza uzinifu, kudanganya wananchi wa Kawe, uropokaji na upotoshaji wa makusudi tena wazi wazi, wenye lengo la kuhadaa wananchi, kuleta taharuki na kuwajengea chuki wananchi dhidi ya serikali yao sikivu ya CCM iliyopo madarakani.

haya yote yanatokea baada ya kuhisi na kugundua kwamba ameshindwa kutimiza ahadi alizotoa kwa wana Kawe na hana nafasi ya kuchaguliwa tena na wana Kawe huku muda ukiwa umeshayoyoma. Uropokaji huo ni mlango wa kutokea na kuficha aibu baada ya kushindwa kabisaa kuleta mabadiliko kwa wananchi kawe 🐒
 
Kwanini msiende mahakamani sasa
 
Moto kutoka Mbinguni umeanza kuwachoma sasa wanakuja kimwili, jamani si maombi ya vifo yaanze jamani, Mungu awaondoe wote wakiwa wamelala waamke wakiwa wamekufa kwa JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI ALIYEFUFUKA KATIKA WAFU AMEN KUU.
 
Hujatimiziwa na Baba yako ndio uje udai kwa baba wa watu, nenda shule ujitimizie haja zako huko mxuuiii
 
Angetumia kanisa kufanya uchawa wa kumsifia mwenyekiti wake wala yasingemkuta hayo, ila kwanini hawatumii akili ku deal na ishu ndogo kama hizi, hii ni aibu kwa taifa na Kenya ndo watazidi kuona watz walivyo mazero brain
 
Kama unatizama filamu za hawa watu,basi siasa za Tanzania utazielewa vizuri sana,na kama mfuatiliaji vizuri basi utaweza hata kutoa utabiri kinachofuata ni nini
 

Attachments

  • 20240528212816.jpg
    166.6 KB · Views: 25

Watakuwa Wanaogopa maombi ya Gwaji boy.
 
Gwajima angekemea utekaji bila kumshambulia Rais na vyombo vya usalama yasingemkuta yote haya. Mbaya zaidi akatumia kanisa lake kupiga propaganda za kisiasa na vitisho. Kajilipua kijinga mno. Acha DOLA imshikishe adabu.
Kwanin asikemee utekaji wakati wenye mamulaka na dola wamejaa kimya Huku wananchi wakuwa wanataharuki kubwa,kazi ya kanisa mmojawapo ni kukemea maovu kwenye jamii.
 
Sisi kama waislamu tunamuunga mkono Mama Samia iwa sbbnndo muislam mwenzatu.Kafanya vzirui kuteka na kuua wapinzani wake wa kisiasa ambao wenginni wakrisitu
Gwajima angekemea utekaji bila kumshambulia Rais na vyombo vya usalama yasingemkuta yote haya. Mbaya zaidi akatumia kanisa lake kupiga propaganda za kisiasa na vitisho. Kajilipua kijinga mno. Acha DOLA imshikishe adabu.
Hizo elfu 7 mnazopewa per day zinamwishoo wake,huwezi kukemea utekaji alafu usimtaje mtekaji,na huyu mama hamumsaidii mnazidi kumuumiza maskini mpka namuonea huruma,vijana na nyie mnatumika kama pawn ♟️ tu
 
Gwajima angekemea utekaji bila kumshambulia Rais na vyombo vya usalama yasingemkuta yote haya. Mbaya zaidi akatumia kanisa lake kupiga propaganda za kisiasa na vitisho. Kajilipua kijinga mno. Acha DOLA imshikishe adabu.
Aisee nyie wenzetu mnatumia nini kufikiri? Kwahiyo hata wewe unakiri watekaji wapo ila mtekaji asitajwe? Haya mkuu siku anachukuliwa mwanao au mkweo tutaimba wimbo mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…