it does not necessary require Deep Knowledge especially executable unayo i reverse engineer kama imeandikwa kwa language ambazo zina generate intermediate language kama C# au Java.
Kwa hizo lugha mbili e.g Kwenye Java mtu kama ame distribute executable yake kama JAR haiitaji rocket science kuona source code yake same applies akiifanya JAR file kuwa .EXE kama ametumia some free stuffs au cheaper means inakua rahisi zaidi bila kusahau Android APKs kama developer hajafanya Code Obfuscation na Pro-Guard imekula kwake unai reverse kilaini.
Tukija C# na VB.NET ngoma ni ile ile hauitaji rocket science kuona source code ya developer...na hata kama ame Obfuscate source code ukiwa motivated utaisoma though with difficulties.
Kama hiyo cryptolocker imeandikwa kwa C/C++(which is the most obvious case) hapa sasa ndo mziki ulipo na hapa sio kila Unmotivated,Unknowledgable person anaweza ku dive in.