guys nahitaji kujua tofauti na kuachana nae ni njia ipi ni best revenge kwa mpenzi(Wa kike) aliyekusaliti japo unaendelea kuishi nae? njia itakayomuumiza zaidi for long time I mean WWIII kati yake na Mimi.
Muombe msamaha kama kuna sehemu ulikosea ikibidi mpigie magoti ili akusamehe asiendelee kutoka nje.
no no no that ain't the reason!! even though am not as how u might think I am bt even if that was the reason she was supposed to cope with me in anyway like grownup partners! she was supposed to fight for me in any situation,I hope u gat my point! being a woman doesn't mean dat u shld cheat simply because u are weak mamitod
Muombe msamaha kama kuna sehemu ulikosea ikibidi mpigie magoti ili akusamehe asiendelee kutoka nje.
Kama mkeo au mumeo,bf au gf ameweza kukusaliti unadhani kuna mapenzi au kuna kitu atakijutia?
Mkeo wa ndoa katoka na jamaa mwingine unadhani lipi la la heshima limebaki kwa mume wake?? Mimi naamini kama mwanandoa ameweza kufanya hivyo means hakuna ndoa hapo.wanaosema samehe,mwache endelea kumpenda,hawajawahi kukutana na jambo kama hili.fikiria mkeo au mumeo yupo na mwanaume au mwanamke mwingine! Inauma sana tena sana.dawa ya moto ni moto,jino kwa jino.
Kijana kula mdogo wake hapo ndo adabu
Mmh hapana ale mama mzazi..hii kufuru sasa duh
Kagongee njee na ww afu make sure amejua mtoke droo
Hahahah Helios kama mimi firauni?