Revealed: Iranian ships still flying Tanzania flag

Revealed: Iranian ships still flying Tanzania flag

huoni tatizo?
ataonaje tatizo wakati thoughts zake ziko subjective rather than being objective,...by quick analysis she seems to be too bookish,HE WHO KNOWS NOT,AND KNOWS NOT THAT HE KNOWS NOT ,IS A FOOL SHUN HIM.:Cry::Cry::Cry:
 
Hii kama kweli ni mbaya sana. Haya mambo ya undumilakuwili haya Mmarekani huwa siku zote hayapendi, hawa jamaa ukifanya blunder wakikuonya jua una bahati na huna budi ujiangalie vinginevyo wanakugeuka. Tuna mambo mengi hayaeleweki hapa sasaiv, hatujui Kagame anapata wapi kiburi cha kutuchimba mkwara, Ikulu yetu juzijuzi ilikuwa exposed kwa US then tunataka kuwafanyia undumilakuwili hali mwanzo waliionya Tanzania kutofanya hivyo
 
Zinedine;Hii kama kweli ni mbaya sana. Haya mambo ya undumilakuwili haya Mmarekani huwa siku zote hayapendi, hawa jamaa ukifanya blunder wakikuonya jua una bahati na huna budi ujiangalie vinginevyo wanakugeuka. Tuna mambo mengi hayaeleweki hapa sasaiv, hatujui Kagame anapata wapi kiburi cha kutuchimba mkwara, Ikulu yetu juzijuzi ilikuwa exposed kwa US then tunataka kuwafanyia undumilakuwili hali mwanzo waliionya Tanzania kutofanya hivyo.
Acha kuabudu watu kama miungu
 
Wamwekee vikwazo huyu gaidi wetu. Kumbe ndio maana nchi inaendeshwa kigaidi hadi polisi wanaua raia kwa mabomu. Kumbe anashirikiana na magaidi bingwa kama Ahmed Nejad wa Iran.
 
CCM na JK itahaha kila sehemu

CCM na Jkaya Mrisho Khalfan Kikwete juzi wameweka rekodi ya dunia kuwakutanisha Marais wawili wa USA kwenye ardhi ya Tanzania, na kwa hilo ni Afrika, kwa wakati mmoja, haijwahi kutokea. Mtakufa navyo...

Na mBarack Hussein Obama akakiri kuwa familia ya upande wa baba'ke ilikuwa Tanzania. Si hasha ni majaluo wa Tanzania wale waliokimbia udhalilishaji wa dikteta.
 
Back
Top Bottom