REVEALED: How commercial poachers masterminded Kagasheki's fall

REVEALED: How commercial poachers masterminded Kagasheki's fall

Hii nchi inaponichoshanga za ni hapo tu mtu anapofanya kazi yake vizuri atawekewa misumari vikwazo elimradi wanaonekane si lolote nenda kwa mh mwakembe,mwaibula , lowasa na huyu mh kagasheki ni mizengwe na majungu kwa wale wasioitakia mema nchi yetu na wananchi bado tumelala tunalishwa sumu mbaya ambayo itakuja kuathiri na vizazi vijavyo kwamba mtu anaefanya vizuri kwa kujali utu wa watu wengine huyo hafai ila anaeiminya haki mdhulumati mwenye uchu wa madaraka basi huyo ndie salama kitu ambacho ni kibaya sana tanzania tushaingia kwenye ukoloni mambo leo bila hata kujitambua kwa hili la mh kagasheki majangili na mafisadi ni ushindi kwao walalahoi kalaga bao..
 
Tusimkandamize Kagasheki bure, kwa upande wake alifanya kazi nzuri ni inawezekana yeye ndio aliyesababisha kuanzishwa kwa operesheni Tokomeza. Nionacho mimi ni kuwa hapakuwa na co-ordination kati ya wizara hizi nne zilizohusika na operesheni hii. Kwa vile tatizo hili limeonekana nadhani awamu ya pili ije na hao majangili wawaangushe tena mawaziri watakaoteuliwa. Hata mara ishirini lakini Ushindi lazima vinginevyo tembo wetu watakwisha...

Pili hizi kesi za hawa wanaokamatwa na nyara mbona hazisikiki? Au ndio vigogo wanahusika? Upelelezi mpaka lini?
Kama dereva anakamatwa na nyara hilo pekee ni kosa na ahukumiwe kwa hilo, swala la upelelezi eti mzigo kapewa na nani lifuate baadae, kwa maana ikiwa hivyo hakuna mtu/dereva atakayekubali kusafirisha nyara. Haya mambo ya upelelezi ndio yanayosababisha rushwa kutumika na wahusika wa chini kuachiwa na vielelezo kupotea.
 
lakini watu walinyanyasika sana jamani, walaaniwe wote waliohusika
 
hela za kampeni za ccm 2015 zinatokana na mauzo ya pembe za ndovu kazi aliyokabidhiwa katibu mkuu wa ccm msomali alshabaab kinana kwani ana uzoefu na shughuli hiyo.Nawalilia tembo wetu.
 
Back
Top Bottom