Damn you and damn you again!! afadhali kuwa mhaini kwa serikali ya majambazi kuliko mnafiki kama huyu prof.
Tunafahamu tabia za huyu!! huyu ndiye aliyekuwa anawabebea ZNZ kapu la madaraka kamili kwenye midahalo sasa anachumia tumbo kwa mikate ya majangili!!
Iko siku watanzania watamkumbuka na kumlilia Professor Shivji. Katika Maprofessa ninaowaheshimu nchini na kuwakubali katika taaluma zao ni huyu jamaa pamoja na rafiki yake Professa Haroub Othman (marehemu). Ila kwakuwa watanzania sisi wengi wetu tunasukumwa na mihemko ya kisiasa mnamtukana na kumdhalilisha sasa!!!
Shivji ni mhindi tu arudi kwao india.hivi watanzania wanaruhusiwa kujadili au kutoa maoni kuhusu katiba ya india?
Hata ukitoka nje ya mada huwezi kunizuia kukueleza maana halisi ya uzalendo. Usijibu kwa sababu you will be touching my patriotic values!! Na wewe ni mhindi.I think u r Msigwa. Hivi ulishamlipa Abuu wa NBC hela zake?
Prof Shivji ni mzalendo wa nyakati,sio wa muda wote
Mbona mnataka kumvunjia heshima Prof. Shivji kumfananisha na Msigwa.
Kamati ya CHENGE inatokana na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, acha ukanjanja wako.
Ni aibu kumfananisha msomi wa kimtaifa na mla mbwa... ni kosa la jinai huyo mla mbwa unamfananisha na yule chizi wa arusha
Mbangaizaji Msigwa uwezo wa kuelewa na kutafsiri mantiki ya alichokisema Prof Shifji. Ni wa kumpuuza tu kama wapuuzi wengine. Na hajui kuwa anachokisema kina maana gani katika Sheria za Uhaini.
Mbangaizaji Msigwa uwezo wa kuelewa na kutafsiri mantiki ya alichokisema Prof Shifji. Ni wa kumpuuza tu kama wapuuzi wengine. Na hajui kuwa anachokisema kina maana gani katika Sheria za Uhaini.
Huyu ni miongoni mwa maprof wapumbavu kabisa