Mchungaji mwenye msimamo mkali inapokuja suala la kumtumikia Mungu aliye hai Rev. Moses Maghembe ameamua kujiondoa kuwa chini ya usimamizi wa kanisa la mahali pamoja laTanzania Assemblies of God T.A.G
Kama ilivyokuwa kwa wajina wa Maghembe, alikuwepo Moses Kulola ambaye alijitenga na T.A.G na kuanzisha E.A.G.T kwa kutokukubaliana na baadhi ya misingi ya kanisa haswa inapokuja suala la kumtumikia Mungu ipasavyo. Wengi tunafahamu uhodari wa Moses Kulola na huduma yake katika kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
Rev. Maghembe ndiye mchungaji pekee alikuwa na uthubutu wa kukosoa uongozi wa askofu Mkuu wa kanisa la T.A.G Dr. Barnabas Mtokambali. Alikosoa kitendo cha kanisa la kiroho kutoa tuzo ya amani kwa mwendazake wakati matukio ya mauaji yalikuwa juu. Pia alikosoa waziwazi maadhimisho ya chama cha vijana ndani ya kanisa C.A.S yaliyofanyika Iringa kwa kufanya bonanza la mpira wa miguu. Maghembe alidai ile siyo njia ya kuhubiri injili ila ni kuishiwa kwa maono na kanisa kuanza kuiga mambo ya kidunia, kanisa linatakiwa kuleta athari duniani na siyo dunia ilete athari kanisani
Kuwa na ministry binafsi au kuwa chini ya uongozi. Wewe uko upande gani?
Mchungaji Lwakatare je? Na mlima wa moto.Hata Mwamposa naye itakuwa hivyohivyo.Kadri siku zinavyoendelea, jinsi inavyozidi kunyesha ndio tunaona panapovuja.
Ukristu huu wa kujianzishia makanisa tunavyotaka, umegeuza makanisa kuwa sehemu ya upigaji na wizi, na sehemu ya kula hela za wengi wenye mahangaiko na wasiojitambua.
Kuna wakati inaonekana ni biashara especially barani Africa.
Kwa mfano, hivi kanisa la TB Joshua bado lipo? Linaendeleaje? Mbona baada ya yeye kufa na kanisa nalo limekufa?
TAG
80% ya viongozi wake ni TIS
Kumbe TISS ni walokole!TAG
80% ya viongozi wake ni TIS
Namjua huyo mzee ni mpuuzi tu anatupigia kelele sana hata anacho ongea akielewekagi ni makelele tu ...upuuzi mtupu na utapeliMchungaji mwenye msimamo mkali inapokuja suala la kumtumikia Mungu aliye hai Rev. Moses Maghembe ameamua kujiondoa kuwa chini ya usimamizi wa kanisa la mahali pamoja laTanzania Assemblies of God T.A.G
Kama ilivyokuwa kwa wajina wa Maghembe, alikuwepo Moses Kulola ambaye alijitenga na T.A.G na kuanzisha E.A.G.T kwa kutokukubaliana na baadhi ya misingi ya kanisa haswa inapokuja suala la kumtumikia Mungu ipasavyo. Wengi tunafahamu uhodari wa Moses Kulola na huduma yake katika kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
Rev. Maghembe ndiye mchungaji pekee alikuwa na uthubutu wa kukosoa uongozi wa askofu Mkuu wa kanisa la T.A.G Dr. Barnabas Mtokambali. Alikosoa kitendo cha kanisa la kiroho kutoa tuzo ya amani kwa mwendazake wakati matukio ya mauaji yalikuwa juu. Pia alikosoa waziwazi maadhimisho ya chama cha vijana ndani ya kanisa C.A.S yaliyofanyika Iringa kwa kufanya bonanza la mpira wa miguu. Maghembe alidai ile siyo njia ya kuhubiri injili ila ni kuishiwa kwa maono na kanisa kuanza kuiga mambo ya kidunia, kanisa linatakiwa kuleta athari duniani na siyo dunia ilete athari kanisani
Kuwa na ministry binafsi au kuwa chini ya uongozi. Wewe uko upande gani?
Ninakuunga mkono...ninawajua kama 7 hiviTAG
80% ya viongozi wake ni TIS
Sio Inaonekana Ni Biashara,,Dini Ni Biashara,,,Madhehebu Ndio Bidhaa,,Waumini Ndio Wateja,,,Viongozi Wa Madhehebu Hayo Waendeshaji/Wamiliki Wa Biashara.Kadri siku zinavyoendelea, jinsi inavyozidi kunyesha ndio tunaona panapovuja.
Ukristu huu wa kujianzishia makanisa tunavyotaka, umegeuza makanisa kuwa sehemu ya upigaji na wizi, na sehemu ya kula hela za wengi wenye mahangaiko na wasiojitambua.
Kuna wakati inaonekana ni biashara especially barani Africa.
Kwa mfano, hivi kanisa la TB Joshua bado lipo? Linaendeleaje? Mbona baada ya yeye kufa na kanisa nalo limekufa?
Mmmh TISS ndo wale wasiojulikana. Eeeh?.TAG
80% ya viongozi wake ni TIS
Lakini yeye kasema TIS. Kitu ambacho ni tofauti kabisa na TISS Tuna yoifahamu wengiKumbe TISS ni walokole!
UKISIKIA TU KITU KINAITWA DHEHEBU WEWE JUA HIYO NI NYUMBA YA IBADA YA IBILISI SHETANI ... SHETANI NDIYO MMILIKI WA MADHEHEBU YOTE ULIMWENGUNISio Inaonekana Ni Biashara,,Dini Ni Biashara,,,Madhehebu Ndio Bidhaa,,Waumini Ndio Wateja,,,Viongozi Wa Madhehebu Hayo Waendeshaji/Wamiliki Wa Biashara.