Rev Mbiso: Mwanzo 28:17 Mahali hapa panatisha kama nini bila shaka hapa ni nyumba ya Mungu ni Lango la mbinguni. Kanisa siyo Jengo halizuiliki!

Rev Mbiso: Mwanzo 28:17 Mahali hapa panatisha kama nini bila shaka hapa ni nyumba ya Mungu ni Lango la mbinguni. Kanisa siyo Jengo halizuiliki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,521
Mchungaji Mbiso wa KKKT Mbezi amesema Mtu mmoja mmoja ambao Mungu wa mbinguni Anaishi ndani yao ndio huitwa Kanisa la Mungu

Na kwamba nyumba ya Mungu haijengwi kwa Mawe na ushuhuda ni Mwanzo 28:17 mahali hapa panatisha kama nini bila shaka hii ni nyumba ya Mungu ni Lango la mbinguni

Source: Upendo tv

Kumbe basi Mimi na wewe ndio Hekalu la Mungu wa mbinguni

Nawatakia Dominica njema 🇹🇿🙏
 
Back
Top Bottom