Reuters na VOA wampeperusha Lowassa kimataifa


Unajuaje kama alikula hela za Richmond na mkulu na wengineo?

Mbona wezi wa escrow hawabambwi?

Kikwete na lowasa ndo wale wale. Ndo maana tunaachana nao tunamtaka magufuli
 
Shida sio ccm wala chadema wala cuf. Eleweni hiki kitu.

Shida ni watu kama watu na sio chama.

Zaire ilivyokuwa mbovu kipindi cha mobutu tatzo halikuwa chama cha mobutu bali mobutu mwenyewe

Libya isingeweza kushamiri kiasi kile chini ya Gaddafi kama Gaddafi mwenyewe angekuwa wa ovyo

Shida ni watu. Tatizo sio chama

Magufuli yuko vizuri. Tumchague magufuli. Achana na huyo mzee wa Richmond, ranch za taifa na ma takataka mengine kibao ambayo hata huyajui lakini yapo
 

Ameshaanza kutumia pesa alizoibia watanzania kuhonga huko ili kujiimarisha..!

Mpe taarifa kwamba, hatumhitaji kabisa.
You are right,

Tena anatumia za ESCROW, meremeta, NIDA, TBL, CWT etc

Jamaa ni wa ajabu... he runs the country hata leo
 
Anguko la ukiwa ni tar 25 oktoba mtaisoma namba
 

Akili za mtanzania hizi EPA,ESCRO,MEREMETA zote ni lowasa? Kuuzwa kwa nyumba za serikali! Meli ya wachina wa samaki unajua ameliingizia hli taifa hasara kiasi gani?
 
Ww mbona unamsakama sana huyu jamaa..mbona rais wenu anasifiwa huko nje na safar haziishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…