Reuters na VOA wampeperusha Lowassa kimataifa

Reuters na VOA wampeperusha Lowassa kimataifa

Kazi Imeanza, Lowassa kura za watanzania wazalendo unazo!

huyu fisadi atapata kula za vichaa na matahira.Richmond atuambie ni ya nani na kwanini aliitumia kutuibia.Mtu akiongea midenda inamtoka na vibration haziishi
 
Timu Membe et al huwa hawapendi kusikia haya mambo ... UFISADI wafanye wao... wamsingizie Lowassa ....
Hivi Obama alizindua mitambo gani pale Ubungo?

Symbion-Power-Obama-Sala-Lewis-Verve-2013163.jpg
 
hizo ni porojo tu za wapmbe wa lowasa wapiga kura ni watanzania sio wamataifa mtamtangaza sana mwisho mta umbuka hamtutishi Ukawa watatawala ccm mtabaki mkishangaa mmeangusha Hadji ya Taifa
 
Ole Wao wanaonyanyapaa Matajiri wakiona hawafai kuongoza Taifa hili,Nchi hii sasa sio ya kuongozwa na mtu mwenye mawazo ya umaskini.I hate Poverty,Kiukweli niliipenda kauli hio,sitaki kabisa Rais,Mbunge au Diwani anayetuimbia chrous ya Nchi hii ni Maskini huo ni uongo wa kuvundika akili za Watz wasiopambanua mambo.TUNAMHITAJI LOWASSA CCM IKITHUBUTU KULIKATA JINALE,DR SLAA ATAINGIA IKULU ASUBUHI NA MAPEMA mara tu baada ya Uchaguzi Mkuu 25 Oct 2015.
 
Tena ya kutoa roho bila huruma hasa huku gizani

yule mtoto wa sheikh yahya alitabili kuna kiongozi mkubwa atang'oka kabla ya uchaguzi,nasubili nione ni nani au na yeye ndio walewale kambakamba tu,lakini naona tunakoelekea kama kweli hivi kuna kiongozi atang'oka! au ni komba tayari utabili umeshakamilika,maana watabili nao kwa game of chance
 
NIMESHINDWA KUVUMILIA BAADA YA KUONA MASWALI YAFUATAYO HEBU PITIA NAWEWE UYAONE SI LAZIMA UYAJIBU ILA YAELEWE TU INATOSHA Hivi kuna watu mpaka sasa wanaamini Lowassa ni fisadi na si serikali ya ccm iliyo fisadi.
hebu jaribu kupata majibu ya maswali haya alafu utafakari na ufanye uamuzi sahihi.
1. Lowassa alitaka kuvunja mkataba wa richmond Rais akamzuia, je kwanini?
2. kamati ya mwakyembe ilisema waziri mkuu ajiuzuru ili serikali isianguke, kikatiba waziri mkuu anapo jiuzuru lazima serikali (mawaziri) wafutwe na rais aunde baraza jipya. je ni serikali ipi alimaanisha isivunjike baada ya Lowasa kujiuzuru?
3. baada ya Lowasa kujiuzuru Richmond iliendelea kulipwa, je kama richmond ilikuwa ya LOwassa kwanini serikali haikusitisha malipo baada ya lowassa kujiuzuru?
4. kama serikali iliendelea kufanya malipo, je ni nani alikuwa analipwa kama siyo namna ya serikali kuhalalisha pesa kwenda mfuko wa ccm?
5. kama richmond ilikuwa ya lowasa kwanini baada ya kujiuzuru richmond ilibadilika ikawa Dowans, baadae ikaitwa symbion, na baadae IPTL.
6. kama richmond ilikuwa ya Lowassa, alipo kuwa tayali amejiuzuru nani alikuwa akiuza hiyo mitambo na kuibadilisha majina.
7. kama richmond ilikuwa ya Lowassa, kwanini rais wa marekani alipo kuja nchini hakuonekana akiwa na Lowassa kujadili iliyo kuwa mjukuu wa richmond yaani IPTL na badala yake akaonekana akiwa na mtu mwingine mkubwa tu katika serikali ya ccm?
8. kama Richmond aliyo bandikiwa lowasa ilikuwa tatizo mbona mtoto na mjukuu IPTL ikazaa ESCROW na hakuna hatua ya kisheria iliyo chukuliwa dhidi ya walio nufaika na mgao wa escrow bali kusafishana kisiasa.
9. kama Lowasa alikuwa mhusika wa richmond, kwanini hakuonekana katika mgao wa escrow huku ikiwa escrow imezaliwa na richmond iliyo zaa dowans, symbion na IPTL?
10. Kwanini serikali ya ccm imeshindwa kumshitaki Lowassa mahakamani angalau ionekane ameshinda kesi, lakini serikali ya ccm inaonekana maeneo kadha wa kadha ikisema lowassa ni fisadi je serikali tunayoitaka ni hii ya ccm inayo walinda wezi na kuliingiza taifa katika hasara kubwa?
11. je baada ya Lowassa kujiuzuru kwanini kashfa za rushwa zimeendelea kulikumba taifa kama, kuibiwa kwa meno ya tembo, mikataba mibovu ya gesi, miswada inayopita kwa dharura, ununuzi wa mabehewa feki, uagizaji wa magari ya kifahali, ziara za hovyo za viongozi, mbio za mwenge zinazolighalimu taifa pesa nyingi, ununuzi wa meli na vivuko vibovu, ufisadi wa Bil 951.7 wizara ya ujenzi (wakandarasi hewa) tena hizi ni namna ya kupitisha pesa kwenda mfuko wa chama alafu tunaambiwa ni ileile, mtaisoma, niwalewale hatuelewi hata kidogo eti. kama ni hivi watanzania tunatakiwa kupimwa akili.

sambaza haya maswali kwa wote unaowajua ili tupate majibu sahihi kabla ya 25 octoba.
 
Eti wamempaisha, ungejua nini huwa kinatokea usiku ukiwa umelala isingekupa shida kuelewa maana ya unachokishabikia ..
 
Sasa wamempaisha wapi.anasema anayepitishwa na ccm ndiye Rais
 
huyu fisadi atapata kula za vichaa na matahira.Richmond atuambie ni ya nani na kwanini aliitumia kutuibia.Mtu akiongea midenda inamtoka na vibration haziishi

Wala huhitaji kutumia nguvu nyingi kiasi hicho.Angekuwa fisadi na Richmond ingekuwa yake angeshashitakiwa na chama tawala.Ukimya wao kutompeleka kwenye vyombo vya sheria na kuishia kumshitaki kwetu wananchi ni kuhadaa tu na si vinginevyo.
Kura atapigiwa na watu wenye akili timamu wanaotaka mabadiliko.
 
Eti wamempaisha, ungejua nini huwa kinatokea usiku ukiwa umelala isingekupa shida kuelewa maana ya unachokishabikia ..

Huku musoma nasikia wimbo wa ccm mbele kwa mbele saa hizi, sijui sheria za kampeni zinasemaje kelele za kampeni za usiku, tunataka kulala saa hizi
 
The Chama Cha Mapinduzi party has ruled the East African nation since independence in 1961, and the fractious opposition is not expected to challenge its position in a parliamentary and presidential vote October 25.

Hilo ni pigo kubwa sana kwa ukawa. yaani ulimwengu mzima unafahamu kuwa upinzani hakuna kitu, sasa hizi kelele za humu za ukawa sijui huwa ni kwa mtazamo wa wapi. UKAWA KAENI CHINI!!!! you still have a very long way to go, nchi haiongozi kwa porojo za vijiweni.

Angalia ndugu usije pata stroke ya mshangao sio mwili kama jina lako lilivyo, nakuombea afya na uzima tele ushuhudie maamuzi ya watanzania ktk mwaka 2015.

Namsihi Mwenyenzi Mungu muumba wa mbingu na nchi avunje kila mbinu chafu za kutaka kushinda kwa njia zisizo halali kwa kuiba kura, kutisha wapiga kura, na kutumia mabavu kuficha ukweli.


TANZANIAitaenda kwa msimamia haki na kweli, giza haliwezi kushinda nuru kamwe.

VIVA MAGUFULI, CCM OYEEE

VIVA LOWASSA, UKAWA OYEEEE, MBADILIKO KAMA APENDAVYO MOLA
 
Tumieni akili zenu wenyewe

Fikirieni kwa umakini

Nin VOA na Reuters?

Kuna kipindi Zaire ikiwa ovyo kabisa chini ya mobutu rais wa marekani aka mwalika mobutu ikulu ya marekani na kumpa sifa kibao

Shaur yako wew unayeona mwafrika kusifiwa na mzungu ni dili

Tumieni akili
 
Back
Top Bottom