Hatumii vumbi la Kongo huyu?Magari kitu gani bwana mimi namkubari huyu bwana Dan Bilzerian yani yeye ni kula raha na watoto kila aendeko awe kwenye boat yake, ndege yake, yani yeye ni watoto kama wote kitandani analala nao kama watano.
View attachment 1633842View attachment 1633843View attachment 1633845
YupoHivi hapa Bongo hatuna Ginimbi hata mmoja
jinaleYupo
Ukianzisha uzi wa Ginimbi wa Tanzania unitag wewe mkaldayo
Halafu mkubwa hukutupa feedback ya ile US lottery uliyokuwa unacheza
Sijuagi hata maana yake naonaga tu jamaa analitumia humu jamvini..any clue,ili nijue maana yake?Ha ha et mkaldayo
Kwa serikali ipi hii ya awamu ya tano thubutuuuHivi hapa Bongo hatuna Ginimbi hata mmoja
Nipo hapa mkuu ngoja nikusanye picha soon ntakuja kujianzishia uziHivi hapa Bongo hatuna Ginimbi hata mmoja
Yeah that is the coolest dudeMagari kitu gani bwana mimi namkubari huyu bwana Dan Bilzerian yani yeye ni kula raha na watoto kila aendeko awe kwenye boat yake, ndege yake, yani yeye ni watoto kama wote kitandani analala nao kama watano.
View attachment 1633842View attachment 1633843View attachment 1633845
Pagani Huayra.Wee ngoja tu nizikamate utakoma hao akina Singh na Ginimbi itakuwa cha mtoto. Mimi nitanunua magari yanaoyofanana kwa mafungu.
Bugatti Veyron zinazofanana 10, Bugatti Chiron zinazofanana 10, Audi R8 zinazofanana 10, PORCHES Harera spyder zinazofanana 10, Ferrari laferari zinazofanana 10, Ferrari F8 zinazofanana 10, Ferrari 458 zinazofanana 10, Ferrari 488 pista zinazofanana 10. Lamborghini Huracan Evo zinazofanana 10, Lamborghini Evo spyder zinazofanana 10, Lamborghini Huracan perfomante spyder 10 na Lamborghini Aventador SVj zinazofa 10.
Rolls-Royce Dawn zinazofanana 10, Rolls-Royce ghost zinazofanana 10, Rolls-Royce Wraith zinazofanana 10, Rolls-Royce phantom zinazofanana 10.
Bentley continental zinazofanana 10.
Range rover svr zinazofanana 10, range rover auto biography 10.
Land cruiser V8 GXR zinazofanana 10. Land cruiser V8 Vx ZX zinazofanana kumi.
Pagani heidyra 10
Halafu kwenye private jets nanunua Gulfstream 5 zinazofaanana.
Hizi cassena zinazotua mbugani na kunyunyuzia dawa mashambani nazinunua kama 100.
Hata nikifa naacha evalasting legacy nakupokelewa mbiguni kishujaa.
Sitaki upuuz
Magonjwa Mtambuka
Wabongo mnavitukoNipo hapa mkuu ngoja nikusanye picha soon ntakuja kujianzishia uzi
naona huyu anaitwa mjasiriamali ila ginimbi tukaambiwa anafuga joka linalotema ela.....umasikini wa mawazo bara giza sijui utaisha liniInakuwaje!
Huyu singanga mwenye asili ya India haoni aibu kabisa kuanika utajiri wake kwenye social media.
Reuben Singh mwenye umri 44 ni Entrepreneur na CEO wa alldayPA and private equity firm Isher Capital. Alizaliwa 20 September 1976 Yorkshire Uingereza.
Anapenda sana kujionesha na Rolls Royce japokuwa anamagari mengine ya kifahari kama Bugatti Veyron thamani 1.7 m$. View attachment 1633833View attachment 1633834View attachment 1633835View attachment 1633836View attachment 1633837View attachment 1633838
@Cc Waziri wa Kaskazini
kuna kipindi askofu kakobe alisema ana hela nyingi sana mpaka anaizidi serikali kilichomkuta hawezi hata kuisimulia maitiKwa serikali ipi hii ya awamu ya tano thubutuuu