MZALENDO NO.1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 302
- 134
Fundi yupi na wapi?external haiharibiki bali jumba lake ndio lina ungua we nenda tu kwa fundi ukabadilishe jumba lake
Weka Picha ya hiyo external yako nikishauri kituHabari za leo wana jamvi, jamani nina tatizo naombeni msaada wenu. Nina external storage ya WD, ambayo haisomi tena nikiconnect kwenye computer, kuna data zangu zimo humo ndani, nisaidieni kama naweza kuitengeneza ikatumika tena au kama haiwezi kutengenezeka, data zangu kuna namna yoyote ya kuzipata. (RETRIEVAL OF DATA) Asanteni kwa kusoma na kunishauri cha kufanya inadvance
Sh ngapi na ofisi yako iko wapi?Kama uko tayari kulipia tuonane kesho Ofisini
Itategemeana na tatizo. Kiwango cha chini ni laki moja.Sh ngapi na ofisi yako iko wapi?
River side ubungo au river side Nairobi? lakini hiyo laki bei ni kubwa sana, coz ninachotaka ni picha zangu tu na hazina garama hata ya elfu 50Itategemeana na tatizo. Kiwango cha chini ni laki moja.
Tupo Riverside Ubungo
Riverside Ubungo.River side ubungo au river side Nairobi?
Uko sahihi. Kazi ya ku recover Picha ni sawa tu na zingekuwa data nyingine. Kinachoongeza bei kwa data sensitive sio process ila risk.lakini hiyo laki bei ni kubwa sana, coz ninachotaka ni picha zangu tu na hazina garama hata ya elfu 50
Okey I get u, but tutaelewa unipunguzie bei, ni pm number yako plz nikutafuteRiverside Ubungo.
Uko sahihi. Kazi ya ku recover Picha ni sawa tu na zingekuwa data nyingine. Kinachoongeza bei kwa data sensitive sio process ila risk.
Daaah! Huyu jamaa na mhitaji sanakuna ukurasa mmoja fb niliona anajitangaza kuwa wanarudisha data zilizopotea
nitakutafutia nikimpata nitakutajia jina lakeDaaah! Huyu jamaa na mhitaji sana