Retrenchment or redundant

Eng Nyahucho

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
688
1,152
Wana JF nisaidieni hili kwa wale wataalam wa sheria, kupunguzwa kazi au muajiri kusitisha mkataba kwa sababu zake binafsi anatakiwa akulipe miezi mingapi
Nisaidieni hilo plz
 
Anakulipa miezi miwili, golden handshake , transport to the recruitment place na vitu vingine vingi
 
Anakulipa miezi miwili, golden handshakeka , transport to the recruitment place na vitu vingine vingi
Pia inategemea na mkataba mlioufanya,kuna baadhi ya kampuni wanachukua mshahara wako wanagawa kwa 7 ,then wanazidisha kwa miaka uliyofanya kazi ,
 
Back
Top Bottom