Anza wewe kuirudisha.Change inaanza na wewe
engaged to my sweet classmate!Retired Sister, ebu tufanye kama unabandika tangazo lako upya mbona mimi sikuliona!!!!:A S shade:
Kwanini unani CC mamdogo? LOL
mimi sio muongeaji sana. ila mimi ni mtu ninaejiamini sana.kuja kutafuta mchumba hapa kwa huu mtandao sio kwamba nilikuwa nimekosa.Kama nilivosema mimi nimekaa nje sana. sikupenda kuwa na mahusiano na wazungu. pia class yetu wanaigeria ndo walikuwepo na other guys wa uganda. na mimi sikupenda kabisa hizo figure.my wish ilikuwa ni kupata home boy! ila sina shida yoyote kama ni uzuri ninao sana anzia kichwani hadi unyayo.
huyo anaesema aliniona nadhani alishtuka maybe hajawai kuona binti mzuri kama mimi.akadhani amekufa yupo mbinguni anaona malaika! mimi najiamini sana sina kasoro yoyote na ndo maana nilikuwa na confidence ya kuja hapa public najua nina sifa zote za kuwa mwanamke sio kimwili tu hadi kichwani.... nisingekuwa pilot!
kwa kweli siwezi kukujibu swali lako.maana wanawake wengi tu wazuri wapo kwenye mahusiano.::
Retired Sister
Hongera sana kwa kujiamini,,na kwa kuwa upo hapa na ni mzuri,,nina swali kwako.
Je,unadhani ni kwa nini asilimia kubwa ya wanawake wazuri hawadumu ktk mahusiano ya mapenzi?
=
nashukuru sana.ila unajichosha bure.ujifunze adabu.mwanaume kukosa busara kichwani ni umaskini mkubwa sana kuliko vyoteMtu anayejiamini angenyamaza kimya, na sio kufungua thread nyingine. Kama kuna pilot wa aina yako, basi sasa tutegemee kuona ajali nyingi za ndege kama ilivyo barabarani.
Acha nikwambie ukweli, hunijui sikujui, hunitanii sikutanii: mwanamke aliyekamilika hatafuti wanaume bali wanaume humtafuta. Inaonekana unapenda sana show off to an extent ulitaka watu wajue wewe ni fulani kwa hiyo ukaja kujishau hapa ili uwe unafanya appointment na wanaume wa hapa ili baadaye wakutolee ushuhuda kuwa wewe ni pilot. Sasa umekutana na watoto wa TMK wamezaliwa wanasema.
Kama mzuri kweli kaa kimya. You just PM Mwana Mtoka Pabaya nikupe mapigo ya kibongo, si umetoka nje wewe? Ila hiyo avatar yako inaonesha ulikuwa Tandale kwa Mtogole mida mingi tu ya maisha yako.
Mbona upailot hata ukiwa na div 4 unasomea!
Hivi ulienda tena kwenye ule uzi wa ndege za mabilionea? Lol!
Hivi ulienda tena kwenye ule uzi wa ndege za mabilionea? Lol!
nashukuru sana.ila unajichosha bure.ujifunze adabu.mwanaume kukosa busara kichwani ni umaskini mkubwa sana kuliko vyote
engaged to my sweet classmate!
nishapata mchumba na kwa kweli ananipenda sana tunafunga ndoa soon june or july!Busara? Mie? Ah, we hunijui. Mimi nina busara kuliko mahitaji ya busara ya nchi nzima. Ningekuwa sina busara ungekuta ni mimi ndio nilikuwa na appointment na wewe pale steers.
Punguza hasira, leo umebahatika kukutana na mwanaume wa character yako na huyo si mwingine ila ni Mwana Mtoka Pabaya, siangalii uso, nababua tu. We usijivunge, niPM mimi sikimbii mabaunsa wala bili za sambusa Steers. Black Bat bado mdogo yule hana ubavu wa kuruka na ma-Pilot
Hi baby!
achana nae aliekosa kakosambona unamajibu mabaya kiasi hiki!!! ila potelea pote, jina lako tu linaelezea maana "jina la kitu ni kitu chenyewe/'
dAAAAMN!! eNGAGED ALREADY?engaged to my sweet classmate!
achana nae aliekosa kakosa
yap mahari ishatolewadAAAAMN!! eNGAGED ALREADY?
yOU MUST HAVE THAT FIRE!!