default ni 12345,
mkuu vp ya nokia 6300
Jaribu kupiga *#7370# halafu ingiza security code yako.
Kama hujaibadilisha Default security code huwa ni 12345.
Kama ukifanikiwa/usipofanikiwa usikose kutujulisha tutafute alternative nyngne.

Halafu hakikisha umefanya 'backup' ya mafile yako kama sms, themes, games n.k kwani hii itafuta kila kitu.