acha upumbavu wewe, afu jifunze ku balance shobo, unambiwa ukweli unakaza kichwa, wewe mtoto wa juzi tu ndio kwanza umemaliza diploma ya marketing pale CBE unakuja kuleta ujinga wako hapa JFmkuu you cant be serious can you!?.. back in the day, .. which days do u mean!?.. nmeanza kutumia jf 2013 nkafungua account ya kwanza 2014 2019 ikafungiwa na sasa nna nyingine hii hapa.. since then jf there was always must be someone who was never serious and i fall on that group.. itc just that watu kama mimi sasahvi tumekua wengi, i always think "being matured is to be able to understand anyone, anywhere and whatever else situation mean while knowing when to SHUT UP and when to MIND YOUR OWN business".. i dont mean to offend you pal, but i hope you understand... si kila mtu ni mtoto hapahapa, if you think you are mature enough then i'll double doubt your maturity bro.
enjoy,eat and bite what suits you.
Waweja kulumba kaka..Asante sana brother
Una uhakika au unajiskia tu kucomment?!Wewe mwenyewe hujamjibu nilitegemea baada ya hizo paragraph nikute umempa jibu.
Kama unaifahamu seacliff Hotel,basi umefika karambeziAsante sana mkuu
hahaaa you are interesting,. by the way mkuu mimi ni MD wa kawaida sana sio successful katika uchumi ila am enjoying my job tangu mwaka 2016(mwaka uliomaliza ww bachelor yako ukapata gpa ya 2.6).acha upumbavu wewe, afu jifunze ku balance shobo, unambiwa ukweli unakaza kichwa, wewe mtoto wa juzi tu ndio kwanza umemaliza diploma ya marketing pale CBE unakuja kuleta ujinga wako hapa JF
Wewe unaonaje?Una uhakika au unajiskia tu kucomment?!
usisahau kuleta mrejesho umechagua wapi!! ๐Asante sana mkuu
yes hapa napo pamekaa njema!! ila kumaliza 100k ni kugusa tu๐..kuna totozi pale zinamwaga umombo tu!! wanatema yai utafikiri tupo Miami Beach, FLCape Town fish market (ctfm)msasani
Ukitoka kitu cha shule kama unaenda masaki mkono wa kushoto.
Ukitumia daladala omba msaada fish market.
Kama unausafiri wako ingia gugo ๐บ.
Kwa kutumia Uber,imeisha hiyo..utakuwa ushafika.
Sea food unapiga na white wine ๐ท na cocktail nyepesi.
Kila la kheri mkajiinjoi zenu
Kabisausisahau kuleta mrejesho umechagua wapi!! ๐
Aende na pesa ya akiba tu..king prawns wasije wakarukia baharini ๐๐yes hapa napo pamekaa njema!! ila kumaliza 100k ni kugusa tu๐..kuna totozi pale zinamwaga umombo tu!! wanatema yai utafikiri tupo Miami Beach, FL
hahaha sina mbavu kabisa๐๐ ๐๐คฃAende na pesa ya akiba tu..king prawns wasije wakarukia baharini ๐๐
Vunja mbavu mkuu hakuna namna๐hahaha sina mbavu kabisa๐๐ ๐๐คฃ
Nitarudi hapa mkuu kuwapa mrejeshousisahau kuleta mrejesho umechagua wapi!! ๐
Pesa kidogo tu ameshaanza kutangaza kuwanunilia wanawake chakula!Ah kudadekii [emoji38][emoji38][emoji38]
Pesa kidogo ameshaanza kula seafood
Mkuu next time usipoteze muda wako kuja kuuliza mambo muhimu hapa jf siku hizi kuna watoto wengi sana ambao wengi wao hata hawajaexperience maisha kiuhalisia wanabakia kutype upuuzi kwenye mambo ya msingi.
Back in the day ilikuwa ni rahisi sana kupata ushauri hapa JF unapokuwa na changamoto yoyote sababu members walikuwa ni watu serious na wanaijitambua na wasiochukulia JF kama kijiwe cha mizaha na porojo za uongo.