Restaurant / Mgahawa unapangishwa

chiza20

New Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Habari Great Thinkers na Wajasiriamali wenzangu. Ninatafuta mpangaji wa kupanga Frame yenye ukubwa wa 20ft x 11ft kwa ajili ya mgahawa. Fremu imetengenezwa kisasa kwa ajili ya biashara hii.
Nahitaji kupata mtu amabaye atanilipa pesa ya gharama za vitu vilivyomo pamoja na ujenzi mdogo nilioufanya mfano tiles na vilevile kama atahitaji meza za wateja zilizokuwepo.
Eneo lina biashara kubwa sana ni barabara ya kuelekea Chuo cha Kampala (KIU) kule Gongo la Mboto.
Sababu ya mimi kuiacha ni baada ya kuhamia mbali imekuwa ngumu kusimamia biashara hii. Ninasisitiza biasahara ni nzuri mno pale.
Tazama picha za eneo. Mimi sio dalali.
Kwa Mawasiliano: 0656022544, 0769711544, 0787545727

Karibuni
 

Attachments

  • 1433637278779.jpg
    52.1 KB · Views: 331
  • 1433637308077.jpg
    46 KB · Views: 267
  • 1433637329344.jpg
    61.6 KB · Views: 229
  • 1433637348159.jpg
    27.6 KB · Views: 229
  • 1433637364940.jpg
    43.2 KB · Views: 254
  • 1433637384699.jpg
    49.9 KB · Views: 241
kodi ni shingapi
na ukikadiria gharama zako ni shingapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…