• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

REST IN PEACE ENGLISH: Badilisha Methali zifuatazo kwenda Lugha ya Kiingereza:

STUNTER

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
13,447
Points
2,000
STUNTER

STUNTER

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
13,447 2,000
1.Ganda la Muwa la Jana Chungu kaona Kivuno-
The Yesterday Cover of the Sugarcane The Pot has
seen Ki-Harvest
2.Ukiona Manyoya jua kaliwa-When You see Feathers The Sun is Eating
3.Ukiwa mjanja kuchapiwa ni Siri ya Ndani-If you
are clever to be typed is a secret of inside.
4.Mgema Akisifiwa Tembo hulitia Maji-The gema
praised the elephant then he puts water
5.Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu-If you dont taught the mother,the
world will teach
6.Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza-
Something you dont know is midnight
7.Mficha Uchi Hazai-If you hide the Undressed you
will not birth 8.Mzaha Mzaha hutumbua Usaha-M-giving giving
Birth u-Stomach u-Clock
 
bigmind

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
12,126
Points
2,000
bigmind

bigmind

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
12,126 2,000
Look very you will go with water man..! Angalia sana ndugu utaenda na maji.
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
9,370
Points
2,000
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
9,370 2,000
ha ha! me nilikutana na mtu akaniambia "tomato watch"! akiwa anamaana et nyanyasa!!
 

Forum statistics

Threads 1,406,762
Members 532,466
Posts 34,526,263
Top