Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,430 Reaction score 197,935 Yesterday at 9:12 PM #41 Pole yao sana wafiwa... Cc: Mahondaw
R rajo mty Member Joined Nov 20, 2026 Posts 51 Reaction score 61 Yesterday at 9:42 PM #42 Rest in peace my brother,hakika wewe mtu mwema,nilikuwa sikjui now nimekujua.
BR Stationary Member Joined Oct 7, 2026 Posts 22 Reaction score 45 Yesterday at 9:57 PM #43 INTROVERT MAN said: Rip . Alijua kuteka masikio ya wasikilizaji wa redio wa nyanda za juu kusini kupitia redio Ebony Fm ya IRINGA mjini. Click to expand... Ebony 🤣
INTROVERT MAN said: Rip . Alijua kuteka masikio ya wasikilizaji wa redio wa nyanda za juu kusini kupitia redio Ebony Fm ya IRINGA mjini. Click to expand... Ebony 🤣
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 55,365 Reaction score 135,216 Yesterday at 11:29 PM #44 Inasikitisha sana
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,896 Reaction score 16,793 Today at 12:09 AM #45 Poleni sana kwa wote mlioguswa na msiba huu
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 26,081 Reaction score 51,417 39 minutes ago #46 Andromeda Galaxy said: Poleni sana kwa wote mlioguswa na msiba huu Click to expand... Kwa wana Iringa kwanza na Nyanda za juu Kusini ni msiba mkubwa sana!
Andromeda Galaxy said: Poleni sana kwa wote mlioguswa na msiba huu Click to expand... Kwa wana Iringa kwanza na Nyanda za juu Kusini ni msiba mkubwa sana!
N nguvu Platinum Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,994 Reaction score 24,938 A moment ago #47 Wilson Gamba said: Sikuwahi kuishi iringa ila kwa namna nilivyofatilia huyu mheshimiwa alikuwa mtu wa watu na amegusa maisha ya wengine ameacha alama huu ndo ubinadamu.Pumzika kwa amani kaka.. Click to expand... Nimeshawahi kumuona iringa, jamaa alikuwa anapendwa balaa, sijawahi kumuona akivaa suruali, ni kaptura muda wote
Wilson Gamba said: Sikuwahi kuishi iringa ila kwa namna nilivyofatilia huyu mheshimiwa alikuwa mtu wa watu na amegusa maisha ya wengine ameacha alama huu ndo ubinadamu.Pumzika kwa amani kaka.. Click to expand... Nimeshawahi kumuona iringa, jamaa alikuwa anapendwa balaa, sijawahi kumuona akivaa suruali, ni kaptura muda wote