Kwani kasema amefiwa? Hivi ukifiwa unaweza post humu JF? Yani uchungu na maumivu yoote ya kufiwa mtu bado anawaza kupost JF? Na mbona simuoni akijibu hata pole moja?! Nina mashaka na hili.
Mambo ya kawa anonymous hayo, akitoa details tutamjua. Hasa ukute ni shabiki wa chama pinzani. Hivyo wewe nikutoa pole kizushi kama taarifa ilivyokuja kizushi kisha unasepa. Pole Mfiwa.
Kwani kasema amefiwa? Hivi ukifiwa unaweza post humu JF? Yani uchungu na maumivu yoote ya kufiwa mtu bado anawaza kupost JF? Na mbona simuoni akijibu hata pole moja?! Nina mashaka na hili.
Ndio maana nashangaa humu mtu anafiwa anapata wapi muda kukumbuka JF, labda kama angekuwa verified user na mtu mwingine atuhabarishe, kama habari. Lakini hili la ID fake halafu unafiwa unatoa taarifa humu hata sielewi. Kwanza siamini kama hili linawezekana.