Pole sana mkuuAlikua lecturer wa hesabu IFM, pia aliwahi kuwa head deparment ya hesabu hapo
Huyu bro anafanana na hela, angekufaa sana!Pole mkuu tumuombee pumziko la raha
Dah.... Alikuwa nani? Alifanya nini wakati wa uhai wake? Amewaachia wengine nini ?.....
nimekutukanaDah.... Alikuwa nani? Alifanya nini wakati wa uhai wake? Amewaachia wengine nini ?.....
Marehemu alikuwa Mwalimu IFM nasikiaIt is very unlikely mtu kuleta habari hii kwa watu wenye id feki hii inaonyesha hauna wa kushare naye nyakati zako.
Tafadhali kua karibu na familia yako, ndugu jamaa na marafiki inaweza ikakusaidia.
Pole kwa msiba.
[emoji57] [emoji41]nimekutukana