Respect kwa wanawake wote...

Respect kwa wanawake wote...

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
2,941
Reaction score
3,963
Pamoja na mapungufu ya kawaida ya kibinaadamu bado wanapa heshima kubwa sana dada/mama zetu. Mwanamke atahakikisha mume,watoto na wanafamilia wanaishi vizuri kwa kuwapa kile kinachostahili. Mwanaume akiwa hahudumii familia mke atapambana kuhakikisha mambo yanakaa sawa. Mwanamke husamehe mambo ambayo mwanaume hawezi kusamehe. Mwanamke atakufanya uwe na amani na kukupa moyo kwa magumu unayopitia mwanaume. Jamani tuwape heshima wanawake na tusiwatese mioyo yao kwa kuwa Mungu hakukosea kutupa hawa viumbe kuwa wasaidizi wetu. Respect to all womens and God bless u all.
 
Finally tumekumbukwa vyema now...Hallelujah.. Glory to God.. Ahhaaa. Asante kwa Thread.. Happy Easter to all womens.... Thanks..
 
Na wanawake pia acheni kutesa mioyo ya wanaume zenu....
 
Back
Top Bottom