zakayoyoung Senior Member Joined Apr 9, 2019 Posts 140 Reaction score 39 May 14, 2019 #1 Wakuu nimejaribu kutengeneza key batan na kwa kutumia resistor k22na k100 na k47 K22 inatumika katika Ku next pia volume- K100inatumika katika kurudisha nyuma pia volume+ K47 inafanya kazi ya kubadili sauti zaidi ya 6 Ila ningependa kama kuna uwezekano wakuu munieleweshe niweze Ku connect fm pia maana system hii ni ya sd card only Wakuu nisaidieni
Wakuu nimejaribu kutengeneza key batan na kwa kutumia resistor k22na k100 na k47 K22 inatumika katika Ku next pia volume- K100inatumika katika kurudisha nyuma pia volume+ K47 inafanya kazi ya kubadili sauti zaidi ya 6 Ila ningependa kama kuna uwezekano wakuu munieleweshe niweze Ku connect fm pia maana system hii ni ya sd card only Wakuu nisaidieni
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,545 Reaction score 2,486 May 14, 2019 #2 Hongera mkuu
zakayoyoung Senior Member Joined Apr 9, 2019 Posts 140 Reaction score 39 May 14, 2019 Thread starter #3 Thanks my broo Mr Confidential said: Hongera mkuu Click to expand...