Reshuffle za watendaji zaanza halmashauri za wilaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Reshuffle za watendaji zaanza halmashauri za wilaya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mlendamboga, Sep 19, 2011.

 1. Mlendamboga

  Mlendamboga JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Uhamisho wa watendaji ngazi za juu kwenye Serikali za mitaa nchini ama halmashauri za wilaya umeanza kwa wahusika kupewa barua zao tangu alhamisi wiki jana.
  Tayari watu wameanza kuumwa na wengine wakisherhekea Uhamisho huo, waliombwa ni ma-DED, DTs na DHROs
   
Loading...