Reset pc

He Is Him

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2020
Posts
242
Reaction score
362
Vp wakuu!

Nina pc yangu ya Window 10. Mm nataka niireset

ila nacho hitaji ni hiyo window 10 ibaki isifutike.

Kwa yeyote anayejua namna ya kureset pc bila kufuta window plz naomba anisaidie.
Nawasilisha
 
Vp wakuu!

Nina pc yangu ya Window 10. Mm nataka niireset

ila nacho hitaji ni hiyo window 10 ibaki isifutike.

Kwa yeyote anayejua namna ya kureset pc bila kufuta window plz naomba anisaidie.
Nawasilisha
Settings > Updates and Security > Recovery then chagua Reset this PC
 
Mbn nime google nikaambiwa ukireset pc kama uli upgrade kutoka window 7 to 10 itajirudi ile window ya mwanzo.
Ndo maana naogopa kureset nisije nikaloose my window 10.
 
Correct term ni refresh pc sio reset,

Setting then update and recovery then refresh, hii itafuta programs, mafile yako yatabaki vile vile na windows itajieka upya.

Sema ina chukua muda sana ni kazi ya kufanya ukiwa free.
 
Mkuu kwenye hii pc hamna refresh!

Alafu naireset ina niambia

"COULD NOT FIND THE RECOVERY ENVIRONMENT"

nini Tatizo hapo mkuu
 
Mkuu kwenye hii pc hamna refresh!

Alafu naireset ina niambia

"COULD NOT FIND THE RECOVERY ENVIRONMENT"

nini Tatizo hapo mkuu
hujawahi kutumia software yoyote ya partition?

kikawaida pc inakuwa na partition ambayo wewe huioni kwa macho mpaka uweke on view hidden files, ama utumie tool mahususi ya kuangalizia, partition hio hujitengeneza unapopiga windows na ndani kunakaa mafile ya windows kwa ajili ya kurecover ama kurepair windows iki corrupt.

kama pc haioni recovery image alternaative kama una cd ama flash uliotumia kuweka hio windows iweke na badala ya kuinstall upya windows chagua repair.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…