Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,007
Katika kautafit nilichokafanya nimegundua research organization za kibongo (ambazo sitazitaja majina), nyingi zinafanya kazi za kidalali.
Unakuta research organization focus yake inasubiria client aje ampe tenda ya kumkusanyia data mostly primary data, alafu inajiita research organization ukiangalia hii sio kaz za strong research organization.
Kwa sababu sababu moja kubwa ya strong research organization angalau zije na products, au methods ya kutatua tatizo fulani, lakin Kwa Tanzania ni tofauti
Na kwanin nasema zinafanya kaz za kudalali, angalia bara LA afrika lilivyo nyuma katika kila nyanja hii ,japokuwa sababu zipo nyingi ila moja ni kutokua na strong research organization
Ili afrika iendelee lazima kuwe na strong research organization zitakazo focus na kutatua matatizo ya afrika, na sio kusubiria domestic and foreign organization wawape kazi za kukusanya primary data (kaz za kidalali)