Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,896
Muwe mnaaga.Am back
Praise the LordAm back
AmenPraise the Lord
Kuna sehemu unaweza kuwa ukashindwa kuaga ila mapambano yanaendeleaMuwe mnaaga.
Mambo ya siku hizi hayaeleweki, unaweza kumezwa na chatu watu wasijue.
Unaweza kudhani ni jambo dogo, lakini 'imagine the possibilities.'
What and where were you undertaking?Am back
Kuna kundi moja la whatsap kuna kada wa ccm alinishitaki nimemtusi mwenyekiti wa ccm baada ya kumwuliza kwanini sheria zote zinatungwa kumlinda yeye badala ya rasilimali na raia kwani yeye ni nani kwamba haendi chooni auWhat and where were you undertaking?
Kuna kundi moja la whatsap kuna kada wa ccm alinishitaki nimemtusi mwenyekiti wa ccm baada ya kumwuliza kwanini sheria zote zinatungwa kumlinda yeye badala ya rasilimali na raia kwani yeye ni nani kwamba haendi chooni au
Ha ha ha!Kuna kundi moja la whatsap kuna kada wa ccm alinishitaki nimemtusi mwenyekiti wa ccm baada ya kumwuliza kwanini sheria zote zinatungwa kumlinda yeye badala ya rasilimali na raia kwani yeye ni nani kwamba haendi chooni au
Welcome back, we missed you somuch brother!..Am back
i hope ulishinda hiyo kesi ya kipuuzi.Kuna kundi moja la whatsap kuna kada wa ccm alinishitaki nimemtusi mwenyekiti wa ccm baada ya kumwuliza kwanini sheria zote zinatungwa kumlinda yeye badala ya rasilimali na raia kwani yeye ni nani kwamba haendi chooni au
Wapuuzi ni tuvijana vya ucccm shule havina ni kujipendekeza vionekane. Kesi iliishia na simu wakarudishaS
i hope ulishinda hiyo kesi ya kipuuzi.