Reputation Power.

chukua fursa hio wewe..! nakwambia utakuwa rich kariakoo hakuna! mzee keshalala tu kkwa kukuona!!
kwahyo unataka kunambia ataniongezea mtaji kwenye ile bureau de change ang nimpiku kariakoo baazar bureau??fursa!
 
kuna watu wanatisha kwa mareputation asee. Excel umeshapitia kipanda hii tena ?

acha kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
acha izo wewe! hujamuona kiwatengu na wakeze?

ngoja nimwambie anipe bana nitoke kwenye 20 .. hahaaaa!!

habari za siku nyingi baba v ?

mi niko poa sana, ushamwona mke wangu haya maeneo? nampenda sana..
 
mi niko poa sana, ushamwona mke wangu haya maeneo? nampenda sana..

hahahaaaaa! unaniulizia mkeo mr uran? mashoga zake akina Bantu lady umewaulizia?

haya bana, mi sina la kusema...
 
Last edited by a moderator:
goodmorning mr uran... umemwona wife wako mzee?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…