Report card on EA pupils out: Kenya leads Uganda and TZ

Namtih58

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
235
46
If you are a middle-class child in Kenya, you are more likely to complete your education and have better basic numeracy and literacy skills than a rich child in Uganda or Tanzania.
However, if you are a poor student in Kenya, you will be worse educated than a similar child in Uganda or Tanzania. These are the stark findings of a survey by East African education think tank Uwezo conducted in June, which evaluates the state of literacy and numeracy in Kenya, Tanzania and Uganda.
For example, in Kenya, 31 per cent of children from poor households in Standard 3 passed the numeracy test, as compared with 28 per cent of children from the wealthiest of households in Uganda who passed this test.
At least 19 per cent of Kenyan children from the poorest households passed the English test, as compared with 16 per cent of children from the wealthiest households in Tanzania who passed this test.
Starker still than the disparities between countries and between rich and poor is the revelation that educational quality is alarmingly low. Poor quality education is steadily eroding East Africa’s skills base, severely undermining the hopes of industrialisation in the next few decades.
Despite a steady increase in primary school enrolment across the region, the majority of children do not gain even Standard 2 level skills until they are almost finished with primary school. Many never learn these skills at all.
“Even though Kenya is ahead, as a whole the region is doing quite badly. It’s like a house with a hopelessly weak foundation,” said Dr Sara Ruto of Uwezo, adding that urgent measures need to be taken to improve the basics of numeracy and literacy.
The study did not cover Burundi and Rwanda, the new members of the East African Community, whose education systems are not yet as similar as those in the other three EAC nations.
The study on the state of primary schools found that Kenya’s schools impart the most knowledge. And in the three tests — Kiswahili, English and numeracy — Kenya’s pupils came out on top, followed by pupils in Uganda.

Soma zaidi hapa
 
[h=1]Kenyan pupils ranked top in the region[/h]
Submit Cancel

Photo/FILE Pupils of St Elizabeth Academy in Karen, Nairobi on January 12, 2011. A new survey shows Kenyan pupils perform better than their counterparts in the region.
By BENJAMIN MUINDI bmuindi@ke.nationmedia.com

Posted Monday, July 4 2011 at 22:30

Pupils in Kenya perform better in Kiswahili than their Tanzanian counterparts.

In a survey released on Monday in Dar es Salaam, Kenya scooped the first 24 slots in a ranking of 135 selected districts across the East African Community.

Kiswahili is the medium of instruction in Tanzanian schools.

The Kenyan pupils came out on top in a standard test administered to gauge basic ability to read letters, words, a sentence and finally a paragraph in a text.

“Even on a test where children in Tanzania ought to have an advantage over those in Kenya, they performed worse,” the survey findings say.

The tests, conducted by an educational think tank, Uwezo, also examined simple ability to compute numbers as addition, subtraction, multiplication and division.

A total of 68,945 children were interviewed from Kenya, 34,752 from Uganda and 42,033 from Tanzania, all aged between six and 16 years.

The tests used were of Standard Two level and were designed to be consistent with the requirements of each country’s curriculum, the survey notes.

“Standard Two was selected as international standards note that after two years of schooling a pupil is expected to have basic competencies in words and numbers,” the report says.

According to the findings, in all three countries, pupils performed poorly compared to the established curriculum levels.

For instance, two out of three children in Standard Three failed to pass the tests for English, Kiswahili and numeracy.

In the Kiswahili (for Kenya and Tanzania) reading sentences as “baba amejenga nyumba nzuri” or “nyumba yetu imezungukwa na miti” were tested.

In English (for Kenya and Uganda) sentences as “Juma is living in a small village. He gets a letter once in a month” were used to test the pupil’s ability.

In Kenya, only 28 per cent of the children were able to read with ease followed by Uganda at eight per cent and Tanzania at four per cent.

“These results are a cause for concern, as the expectation is that all children in Standard Three should be able to satisfactorily complete a Standard Two test.”

The findings show that only when pupils reached Standard Seven do they acquire Standard Two skills, “though in Tanzania half of Standard Seven were still unable.”

“Children in Tanzania performed worse even in the Kiswahili test, a language which they are more exposed to than children in Kenya.”

In Uganda and Kenya, English is presumably more widely spoken than in Tanzania. “There is a crisis of learning in the three countries,” says the report.

In Tanzania, the report says that 23 per cent of the teachers are not in school on any given day, and when in school, they spend half their time outside the classroom.

Daily Nation: - News |Kenyan pupils ranked top in the region
 
Was it a kenyan Swahili. Kugonjeka, kunywa mbia,? Watajifagilia kwa kila kitu, ku justify kuwa eventually wanastahili kutawala soko la kazi la EAC. Ukiwa unakabiliwa na njaa kila mwaka na isiyoisha, lazima uishi kwa mbinu kama hizo. Kuji market!!!!!!. Nyang'au will never cease to amaze me. Kila kukicha ni kituko! Bora Tanzania izuie mahindi yote, wote wafe kwa njaa hawa, hawana maana yoyote!
 
Hicho kiswahili kipi cha kusema nakwenda "Kwa nyumba" nimekuja kubomoa nyele badala ya kufumua, au kusuka nyele wanaita "Kushuka"

Hawajui kiswahili chochote hao wakenya eti mtu anaumwa wanasema amegonjeka, msiba ni matanga. Hakuna kitu hapo bana
 
Sidhani kama watafiti waliofanya huu utafiti wataweza kuwa biased kutumia kiswahili cha Kenya kuinterview wanafunzi Uganda na Tanzania. Ukweli ni kuwa kwenye shule zetu haswa za serikali zina matatizo makubwa sana and we need to admit that na kufanyia kazi.

Angalia mfano wa competence ya walimu wetu kwenye shule za msingi na sekondari, idadi ya wanafunzi kwa darasa moja, ukosefu wa teaching aids n.k.

Kwa hiyo tusikatae ukweli na changamoto bali tuzifanyie kazi.
 
Sidhani kama kuna ukweli wowote hapo...hata jamaa wa UG wameukataa!

Mimi ninawajua wanafunzi kadhaa waliofika darasa la saba lakini hawajui kuandika majina yao hachilia kusoma vizuri, na hiyo ni hapa mjini Dar es Salaam.

Hao walioko huko vijijini ambako viongozi wetu wanafika kwa msimu itakuwaje? Kingine cha kujiuliza mbona hata takwimu zetu zinaonyesha "illiteracy rate" inazidi kupanda mwaka hadi mwaka?
 
Even if it is true, what's the point? ingekua ni bora katika finance ao katika development ninge taka kujua zaidi. Hivi kujua kiswahili kuliko waganda na watanzania inasaidiaje Kenya kuboresha maisha ya wakenya? Kumbukeni 3.5 million ya wakenya wanalala njaa... hao watapataje nafuu kwa kupitia kiswahili hicho?
JAmani tuweke juhudi zetu kupinzana kwa vitu vitakavyo tupeleka mbele: kuongeza employment, ku-improve mazingira, kupandisha uchumi, kuongeza upendo na cooperation east afrika. Tupinzane kingereza na kifaransa sababu vitafungua tourism, economic na diplomacy ya nchi.
Kweli kiswahili ni lugha kubwa na nchi nyingi zinaongea kiswahili ila ni lugha ya usanii na mapambo. ni international seminar ngapi, international conference ngapi zinakua kwa kiswahili? ni government ngapi zinakua na kiswahili kama lugha ya cabinet? ni nchi ngapi za G7 zinachukulia kiswahili kama lugha ya communication?
hadi tutakapo fikia hatua hiyo mimi sioni haja ya kujivunia wanafunzi wadogo kujua kiswahili kuliko majirani.
 
Mimi ninawajua wanafunzi kadhaa waliofika darasa la saba lakini hawajui kuandika majina yao hachilia kusoma vizuri, na hiyo ni hapa mjini Dar es Salaam.

Hao walioko huko vijijini ambako viongozi wetu wanafika kwa msimu itakuwaje? Kingine cha kujiuliza mbona hata takwimu zetu zinaonyesha "illiteracy rate" inazidi kupanda mwaka hadi mwaka?

Sawa nakubaliana nawe lakini na mimi pia nawafahamu/nina rafiki zangu wengi tu toka KE wenye Ph.D zao lakini hawajui kuandika wala kuongea vizuri kiswahili...

Wengi tungeelewa kama walau utafiti ungesomeka hivi:

Kiswahili:-Tanzania, Kenya, Uganda
English:-Kenya, Uganda, Tanzania
Mathematics/Numeracy:-Uganda, Tanzania, Kenya
 
Hii inaweza ikawa ni perception lakini sio ukweli halisi on the ground.
 
Hivi Wakenya wataendelea kututukana hata lini? Hawa nadhani ndio wakoloni wapya wanaotaka tuamini kuwa kila kitu cha Kitanzania ni cha Kishenzi kama vile wazungu walivyowaaminisha mababu zetu. Mimi nimesoma na Waganda, wale jamaa walikuwa ni wazuri sana katika 'Spoken English' lakini sio 'Academic English'. Kati ya Waganda 5 niliokuwa nao shule ni mmoja tu ambaye alikuwa hahudhurii 'September Conference', sasa ukiangalia hapa ku wapi kujisifu? Hao Wakenya sikusoma nao lakini hata Kiswahili chao kinatia mashaka mfano wanasema 'mavazi yanayokera ni gani?'.

Nionavyo mimi utafiti huu umelenga kutukana elimu ya Kitanzania Kiganda na kuinua elimu feki ya Kikenya ili watu waamini kuwa Elimu ya Kenya ni bora kuliko ya nchi yoyote hapa Afrika Mashariki. Nimetembelea shule za Sekondari kule Uganda na kugundua kuwa Wakenya wanaosoma Uganda ni wengi kuliko Watanzania, Wanyarwanda na Warundi. Kama Elimu ya Kenya ni bora, huko Uganda Wakenya wanafuata nini?

Wakenya wanasoma hadi darasa la nane na kuishia kidato cha nne halafu eti wanakwenda University kuchukua degree! Elimu gani sasa hii? Hawa Daily Nation ni waongo na inabidi wawaombe radhi Watanzania kwa utafiti huu wa kishenzi.
 
btw hamna hata chuo kimoja cha maana Ulaya au US kinachowaruhusu kuingia chuo huwa inawabidi kusoma mwaka kuingia chuo! sasa kama ni bora mbona hawakubaliwi? Na sababu ya ku-scrap 'a` levels inajulikana, upungufu wa shule kipindi cha Moi!
 
Happy? you think am Happy replying to your half wit blubbers in every thread mentioning Kenya? Its true I come here for kicks from y'all dim witted fruits, but sh*t is getting too old too fast. Do you think you can go to a Kenyan forum and read anything about y'all? but you stay riding our sh*t all the time, we getting tired of this bullsh*t charade, get another d*ck to ride.

Tell Nation media to stop propaganda against TZ! TZ is about to take off and there is no way Kenya as a nation can advance through smear campaigns towards another nation! You fool .....!

Btw Uganda has taken off already and we are starting to see oil money being splashed into Tanzania's economy...read here idiot (http://www.busiweek.com/11/news/tanzania/1312-tanzania-uganda-ink3b-railway-deal), the next thing we are waiting in patience without lobbying is a pipeline project since the Tamoil project is long gone (has long been flushed away mind you, Gaddafi is counting down now somewhere in a bunker in unknown location).

You piga kelele tu with your media boasting while fighting for small things like EA central Bank or International companies regional headquarters! Switzerland is the headquarter of most of institutions and companies in the EU but it is not economical mighty as Germany! bastard again!! arghhhh!
 
*to* its 'translate to' not translate in? you stay losing you effin troll.
Translate from English to Kiswahili
or translate it into swahili. Ukikua utajua ...
In the mean time please observe some courtesy mkuu. tujadiliane kwa heshima
 
Hivi Wakenya wataendelea kututukana hata lini? Hawa nadhani ndio wakoloni wapya wanaotaka tuamini kuwa kila kitu cha Kitanzania ni cha Kishenzi kama vile wazungu walivyowaaminisha mababu zetu. Mimi nimesoma na Waganda, wale jamaa walikuwa ni wazuri sana katika 'Spoken English' lakini sio 'Academic English'. Kati ya Waganda 5 niliokuwa nao shule ni mmoja tu ambaye alikuwa hahudhurii 'September Conference', sasa ukiangalia hapa ku wapi kujisifu? Hao Wakenya sikusoma nao lakini hata Kiswahili chao kinatia mashaka mfano wanasema 'mavazi yanayokera ni gani?'.

Nionavyo mimi utafiti huu umelenga kutukana elimu ya Kitanzania Kiganda na kuinua elimu feki ya Kikenya ili watu waamini kuwa Elimu ya Kenya ni bora kuliko ya nchi yoyote hapa Afrika Mashariki. Nimetembelea shule za Sekondari kule Uganda na kugundua kuwa Wakenya wanaosoma Uganda ni wengi kuliko Watanzania, Wanyarwanda na Warundi. Kama Elimu ya Kenya ni bora, huko Uganda Wakenya wanafuata nini?

Wakenya wanasoma hadi darasa la nane na kuishia kidato cha nne halafu eti wanakwenda University kuchukua degree! Elimu gani sasa hii? Hawa Daily Nation ni waongo na inabidi wawaombe radhi Watanzania kwa utafiti huu wa kishenzi.

Boss tukubaliane kitu moja, education system yenyu iko chini tu sana, hiyo ni FACT na nyinyi wote mnajua na ndio maana wale wabongo kidogo wanajiweza wanawaleta watoto wao Kenya na UG wapate angalau masomo ya kweli, nanyi mkija huku mnajulikana ya kuwa nyie ni mambumbumbu na wengi wenyu wanavuta mkia darasani.

Si jaribu ku prove anything lakini msipobadilisha mwenendo wenyu na mjue kuaccept critisism, basi mnapoelekea ni pabaya sana, na hakikisheni watoto wenyu wamesoma coz this EAC thing is a monster which will kill a generation of illiterate and lazy Tanzanians.
 
Boss tukubaliane kitu moja, education system yenyu iko chini tu sana, hiyo ni FACT na nyinyi wote mnajua na ndio maana wale wabongo kidogo wanajiweza wanawaleta watoto wao Kenya na UG wapate angalau masomo ya kweli, nanyi mkija huku mnajulikana ya kuwa nyie ni mambumbumbu na wengi wenyu wanavuta mkia darasani. sijaribu ku prove anything lakini msipobadilisha mwenendo wenyu na mjue kuaccept critisism, basi mnapoelekea ni pabaya sana, na hakikisheni watoto wenyu wamesoma coz this EAC thingy is a monster which will kill a generation of illiterate and lazy Tanzanians.
yetu iko chini, mbona huwezi ingia chuo direct na hiyo yako US au UK? Na mbona mnataka ku-introduce "a" levels? unajua nyie ni majuha mnapenda kujiona exceptional while mnajua kinachoendelea! you fools meet shock of your lives when you go to the US or UK universities and asked for english proficiency test just like the any other non native english speaker then you find yourselves hanging at the middle when you come back to Kiswahili which you discarded, you find yourselves to be very weak! That's why you resort into these sort of articles to comfort your frustration!
 
Back
Top Bottom