Replacement ya Kitenge Kwa Massanja mkandamizaji ni uzalilishaji wa taaluma ya habari,mimi nilikataaa kuwa kasuku!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Kitendo Cha Kitenge kutoka kwa Majizo na Majizo kumwalijili Massaanja mkandamizaji, ni aibu Kwa sisi ambao tulisomea uandishi wa habari.

Miaka kumi na moja Bado idara ya habari maelezo inageuzwa kuwa idara ya kuwa na wachekeshaji?

Well mm Nina amini uhandishi ni kipawa kutoka kwa Mungu lakini ni wangapi wako nje yaani ajira hawana ajira na wanashuhudia wachungaji wakichukua kazi Yao?
Nina hoja nisikilizwe
 
uhandishi?

poor you.
 
Kuna kaka angu mmoja ni nguli wa habari....
Ni Moja ya watu ambao wali scratch from the beginning niki mtaja Kila mtu anamjua ngoja nimuhifadhi....

Kuna ELIMU, KIPAJI, JUHUDI, BAHATI, NGEKEWA....
 
Kitendo Cha Kitenge kutoka kwa Majizo na Majizo kumwalijili Massaanja mkandamizaji, ni aibu Kwa sisi ambao tulisomea uandishi wa habari.

Miaka kumi na moja Bado idara ya habari maelezo inageuzwa kuwa idara ya kuwa na wachekeshaji?

Well mm Nina amini uhandishi ni kipawa kutoka kwa Mungu lakini ni wangapi wako nje yaani ajira hawana ajira na wanashuhudia wachungaji wakichukua kazi Yao?
Nina hoja nisikilizwe

Yaani na wewe ulipoteza pesa zako kwenda kosomea uandishi🤔 umepoteza pesa sana
 
Kitendo Cha Kitenge kutoka kwa Majizo na Majizo kumwalijili Massaanja mkandamizaji, ni aibu Kwa sisi ambao tulisomea uandishi wa habari.

Miaka kumi na moja Bado idara ya habari maelezo inageuzwa kuwa idara ya kuwa na wachekeshaji?

Well mm Nina amini uhandishi ni kipawa kutoka kwa Mungu lakini ni wangapi wako nje yaani ajira hawana ajira na wanashuhudia wachungaji wakichukua kazi Yao?
Nina hoja nisikilizwe
So sad yaani siku hizi UANDISHI wa HABARI umegeuka kuwa COMEDY na wengine wanabana pua kabisa so
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom