Remote ya Luku inasumbua kuingiza umeme

Remote ya Luku inasumbua kuingiza umeme

Kwahiyo family house ndo unafanyia biashara ya samaki na nyama? Kwanini unakua muongo hivyo?
muongo kivipi sasa? nyumba ni ya familia na mbele tumeweka frem za biashara ambazo ni kwa matumizi yetu

hakuna hata frem moja ambayo tumeweka mpangaji
 
Pole sana... Ngoja waje kukupa muongozo kwa kukuomba location na number ya simu alafu wanapotea...
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
Kama mmefungua akaunti ili kusaidia watu, wekeni wataalamu ambao Wana uwezo wa kutoa msaada online.
Tunafahamu ofisi zilizopo, namba za customer care tunazo, lakini kwa sababu hii ni digital era! Kuna msaada unaweza kumwambia mtu kabla ajawatafuta hao.

Kuna baadhi ya mita umeme uliisha mpaka sifuri haiwezi kuingiza umeme mpaka ubonyeze namba Fulani kwenye remote. Nilidhani mngefanya hivyo otherwise kama majibu ndio hayo hayo⚠️⚠️⚠️
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom