nasssen JF-Expert Member Aug 12, 2012 482 506 Apr 20, 2021 #1 Wakuu habari za muda huu? Nina uhitaji wa haraka sana wa remote control ya dell Projector aina ya 1550. Ninaomba kwa yeyote mwenye nayo anijulishe.
Wakuu habari za muda huu? Nina uhitaji wa haraka sana wa remote control ya dell Projector aina ya 1550. Ninaomba kwa yeyote mwenye nayo anijulishe.
JMF JF-Expert Member Jun 29, 2013 1,735 2,686 Mar 31, 2022 #2 Tumia universal remote control. Zimejaa tele kariakoo kwa 20,000 - hadi 30,000