REMIX YA WIMBO WA TAIFA, KENYA


waltham

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Messages
2,315
Likes
611
Points
280
waltham

waltham

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2014
2,315 611 280KENYA NATIONAL ANTHEM REMIX
Ee Mungu Nguvu Yetu
Swahili lyrics
English lyrics
First stanza

Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.

Oh God of all creation
Bless this our land and nation
Justice be our shield and defender
May we dwell in unity
Peace and liberty
Plenty be found within our borders.

Second stanza
Amkeni ndugu zetu
Tufanye zote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda

Let one and all arise
With hearts both strong and true
Service be our earnest endeavour
And our homeland of Kenya
Heritage of splendour
Firm may we stand to defend

Third stanza
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani

Let all with one accord
In common bond united
Build this our nation together
And the glory of Kenya
The fruit of our labor
Fill every heart with thanksgiving.
 
Naisujaki Lekangai

Naisujaki Lekangai

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
1,347
Likes
1,336
Points
280
Naisujaki Lekangai

Naisujaki Lekangai

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
1,347 1,336 280
Sauti ya wimbo imekaa kisasa mno kiasi kwamba George Zenoka Zake,Washington Omondi, Graham Hyslop,Peter Kibukosya, na Thomas Kalume kama wako hai wakiusikia watapatwa na presha kali ya mshtuko.
 
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
24,844
Likes
13,885
Points
280
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
24,844 13,885 280
Ingelikuwa wimbo unafuta ukabila
Naimani Msingelikuwa na ukabila kiasi hicho!!!
 
E

Edward Wanjala

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2016
Messages
6,798
Likes
5,027
Points
280
E

Edward Wanjala

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2016
6,798 5,027 280
Ingelikuwa wimbo unafuta ukabila
Naimani Msingelikuwa na ukabila kiasi hicho!!!
Jaribu mmoja wetu ndio ujue Wakenya ni kitu kimoja!!! We differ internally na kama familia ua jamii hiyo ni sawa kutofautiana! Hatuna Unafik kama huu wenu! Lakini ikija sasa mambo ya jamii ya Kenya, Kenya huungana kama kitu kimoja! Mfano, M-Changa Website ya kuchangia mtu akiwa na tatizo kubwa Kenya! Watuu huchangia yeyote ule bila kujali kabila! Week lilopita pekee tumechangia watu watatu millioni 22, yaani millioni Tshs. 440,000,000 one is a mum who needed 3million for operation, but over 7million was contributed. Tht is why Kenya is number one most generous country in Africa and 12 world wide, we care for our brothers irrespective of our tribes! Sasa usijidanganye eti Kenya tunaukabila hivo unavyo fikiria wewe!
generosity-index-jpg.445699
generous-kenya-jpg.445700
 

Forum statistics

Threads 1,274,530
Members 490,721
Posts 30,515,424