Remix ya wimbo wa Diamond (kimya)


Ila NIKUAMINI WEWE, GHOST WRITER?????????? Hahahaaa
 
Nitake radhi, mimi mtumishi siwezi kuweka beef na mtu, maana namna hio itabidi sadaka yangu niiache madhabahuni nikapatane na Naseeb. Mimi AKIPINDA NAMKREKEBISHAAAA, AKIPATIA NAMSIFIA.

Kama huna bifu naye, basi itakuwa anakulipa umtengenezee hizi bifu hapa JF,

manake huishi kumponda, tugawane kama vp 🙂
 
Kama huna bifu naye, basi itakuwa anakulipa umtengenezee hizi bifu hapa JF,

manake huishi kumponda, tugawane kama vp 🙂

Hahahhaaa! Wengine UTU WETU HAUUUZWI. Angekuwa na cha kumlipa mtu, angeanza kumlipa Harmo Rapa.
 
Ila NIKUAMINI WEWE, GHOST WRITER?????????? Hahahaaa
You said yourself earlier that you stand to be corrected with facts, now am giving you facts and what now? Oh please dear one
 
Nyimbo iliyojaa tafakari...inawafaa pia wabunge wanaweza jengea hoja mjengoni
 
Aondoe picha ya baba wataifa maramoja. Maudhui ya wimbo wake hayaendani na falsafa aliyokuwa nayo Mwl.
 
Duh siku hizi watanzania tumekuwa na viherehere sana

Kila MTU amekua na kiherehhere
Wasanii viherehere
Wabunge viherehere
Wandishi viherehere
Wachungaji viherehere
Muda wa kujenga nchi unakuwa haupo

Watu wanatamani kuishi kama Sudan naona Uhuru umezidi vya kutosha

Nchi hiii shetani ameamua kutumia mitandao na wachungaji Pamoja na waandishi wa habari.
Haiwezekani wachache hawa wawatumbukize mamilioni ya wtz kwenye shida wazibitiwe ipasavyo
Mbona akina kiba,benpol na wengine kibao hawana viherehere
Wasanii siasa itawaponza acheni kutumika kisiasa,
Tupendane hizi sifa tunazotafuta usifikirie wazungu wanatuona eti ni mashujaa sisi ng'ooo
Kuna watu wanatumia gharama kuchafua nchi hii tu
Eti kwa sababu maisha yamekuwa magumu.
Ni bora punda afe mzigo ufike.
 
Hivi ukitaka kuwa nayo hii unafanya vipi Yani?
Pia na ile ya kumtafuta Roma tunaipataje ili tudownload
 
Diamond kachemsha. Halafu huu utapendwa sana. Wasiwasi wangu wala wasojitambua wenyewe wanajiita BASATA wanaweza kuufungia.

Ibilisi katapakaa BAK sikai kimya nitasema dhidi ya huyu dikteta uchwara na Serikali yake dhalimu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…