Remi Ongala: Kwanini Wafrika hatuna Mtume?

Remi Ongala: Kwanini Wafrika hatuna Mtume?

Huwezi kukutana na Masawe uarabuni...wanamuziki ambao wanaimba bila ya upuuzi wa autotune
 
Hee, nimesikia vibaya au? amesema "... wema k..nyko?"
 
NDO HIVOHIVO ULIVOSIKIA.. jaribu tena kusikiliza
Amesema hivyo hivyo. Basi wataelewana huko huko kwa Mungu atapaswa kufafanua vinginevyo itakuwa shida wakati wa kumpangia kwenda upande wa kushoto au kulia
 
Amesema hivyo hivyo. Basi wataelewana huko huko kwa Mungu atapaswa kufafanua vinginevyo itakuwa shida wakati wa kumpangia kwenda upande wa kushoto au kulia
lkn kasema ukweli wake na MSEMA UKWELI NI MPENZI WAAAAA..............................?
 
Back
Top Bottom