Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Inawezekana. Lakini angalau katika uhai wake alipigania ukombozi wa Msumbiji na nchi nyingine kusini mwa Africa. Si vibaya kuenzi historia, hata sisi wabongo tunao mtaa wa Samora Machel!Angekuwapo leo angekua kama Bob Mugabe king'ang'anizi wa madaraka?
yeah.....sure mkuuinawezekana. lakini angalau katika uhai wake alipigania ukombozi wa msumbiji na nchi nyingine kusini mwa africa. Si vibaya kuenzi historia, hata sisi wabongo tunao mtaa wa samora machel!
Inawezekana. Lakini angalau katika uhai wake alipigania ukombozi wa Msumbiji na nchi nyingine kusini mwa Africa. Si vibaya kuenzi historia, hata sisi wabongo tunao mtaa wa Samora Machel!
Ndio hapo basi. Ivyo ndo tunavyotakiwa tufanye!Hata ukienda Zimbabwe na Msumbiji utaona mtaa unaitwa Nyerere.