KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,154
- 40,946
kyalankota na KikulachoChako mbona hawajatia timu mpaka sasa kwema? ??
Mkuu mshana jr nilikuwa kwenye shughuli za ujenzi wa taifa letu changa ingawa lina umri mkubwa...kwa heshima yako imenibidi nitangaze hali ya hatari maeneo ya bafuni kwa sababu sijui baada ya ujio wa picha hii..nimejikuta automatically naelekea bafuni kuoga...mpaka sasa sijui nini kilinipeleka bafuni lakini ninachokumbuka ni kuwa mara ya mwisho nilishika sabuni ikiwa na povu jingi mkononi....nashukuru sana kwa kuuufanya mchana huu kuwa wa kipekee huku bafuni....
Last edited by a moderator:
