Maboksa wengi waoga kwenda MMA, najua May atampiga Mac kwavile yuko uwanja wa nyumbani, ila angejaribu kumfata kule MMA May angekata roho ulingoni, kajamaa kako fit sana kule
Anachokisema Many Paciao ni sahihi kabisa, MacGregory sio professional wa boxing anawezaje kuja kupigana na mtu kama Maywether?
Hapa dogo anatafuta mkwanja tu basi lakini sio ushindani fair
Myawether aspokua makini akaacha huu upuuzi wa kua mshamba wa pesa atafiliska soon...awaige kina Bill Gate na kina Jayz aache Utoto wa kupga pcha pesa na kutembea na pesa kwenye ndege ...nmeamin mtu mshamba ata apate nini hawez kuacha asili hawa ndio wanafanya waafrca waoneakane ni wapuuz Kina Messi na kina Ronaldo hawawez kufanya upuuzi huu