donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Salaam wakuu,
Kwa wale fellow gamers, hii website ya Skidrow Games - Crack - Torrent Download - Full Version PC Games naona imetisha haswaa katika tasnia nzima yakutuwekea pc games nyingi tena ambazo zipo cracked. Aisee hawa jamaa wana games nyingine hata sijawahi kuzisikia. Mimi daily nikijiunga na wajanja night ni mwendo wakupakua magame tu. Kwa mfano saivi nashusha MASTERS OF THE WoRLD Geopolitical simulator 3 ambayo una act kama wewe ndio head of state unaamua mambo pamoja na Saints ROW IV Commander In Chief Edition. Jaribuni wakuu mnaopenda magame muone jamaa walivyocontain mambo ya hatari.
Da site ipo kamili.
View attachment 108581
mkuu unatumia link generator au unatumia username na password za host tupe njia jinsi ya ku download kamauna premium username na password tushushie
sijawahi kukutana na game kama hii,i like the idea itabidi niishushe baadae!!!Salaam wakuu,
Kwa wale fellow gamers, hii website ya Skidrow Games - Crack - Torrent Download - Full Version PC Games naona imetisha haswaa katika tasnia nzima yakutuwekea pc games nyingi tena ambazo zipo cracked. Aisee hawa jamaa wana games nyingine hata sijawahi kuzisikia. Mimi daily nikijiunga na wajanja night ni mwendo wakupakua magame tu. Kwa mfano saivi nashusha MASTERS OF THE WoRLD Geopolitical simulator 3 ambayo una act kama wewe ndio head of state unaamua mambo pamoja na Saints ROW IV Commander In Chief Edition. Jaribuni wakuu mnaopenda magame muone jamaa walivyocontain mambo ya hatari.
sijawahi kukutana na game kama hii,i like the idea itabidi niishushe baadae!!!
jamani gamers wote tutengeneze utaratibu wa kushare hii mizigo badala ya kila mtu kudonwload simnajua tena mambo ya bundle... kwa mfano ukishushsa basi unaenda kuuweka 4share then kila mtu anaenda kunyonya kule.... just advice!!!
Salaam wakuu,
Kwa wale fellow gamers, hii website ya www.skidrowgames.net naona imetisha haswaa katika tasnia nzima yakutuwekea pc games nyingi tena ambazo zipo cracked. Aisee hawa jamaa wana games nyingine hata sijawahi kuzisikia. Mimi daily nikijiunga na wajanja night ni mwendo wakupakua magame tu. Kwa mfano saivi nashusha MASTERS OF THE WoRLD Geopolitical simulator 3 ambayo una act kama wewe ndio head of state unaamua mambo pamoja na Saints ROW IV Commander In Chief Edition. Jaribuni wakuu mnaopenda magame muone jamaa walivyocontain mambo ya hatari.
Thanks mkuu , ngoja nijipange kwa ajili ya kuanza kupakua.
sijawahi kukutana na game kama hii,i like the idea itabidi niishushe baadae!!!
nimeangalia game play yake duh ni mwendo wa siasa kwenda mbele!!!!Mkuu jaribu, utaipenda. Bongo imo humo pia, ila tatizo utakoma na migomo ya madaktari na upuuzi mwingine kama huo.