Reliable ebay seller

Reliable ebay seller

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Wana JF,
Ni ebay seller gani ambaye yupo reliable? yaani ukinunua items kwake kama phones, tablets hata aki ship kwa USPS zinafika? last time niliagiza tablet leo ni mwezi watatu sijapata kitu ila kani refund half payment na case imekuwa closed...

Please names of those ebay seller...
 
Ukiingia Ebay utaona reviews alizonazo mtu kwa kuuza na kununua, mfano ukinunua bidhaa au kuuza moja unapata feedback positive au negative moja.
Nakushauri ununue kwa mwenye positive reviews above 95%.
Pia tazama idadi ya positive reviews, kuna watu wameuza bidhaa laki kadhaa na ana positive feedback 99.9%, nunua kwa watu wa aina hiyo.
Usihangaike na jina
 
Wana JF,
Ni ebay seller gani ambaye yupo reliable? yaani ukinunua items kwake kama phones, tablets hata aki ship kwa USPS zinafika? last time niliagiza tablet leo ni mwezi watatu sijapata kitu ila kani refund half payment na case imekuwa closed...

Please names of those ebay seller...

Duuh!Umekubali nusu yako iteketee kabisa hivi hivi...
Wakati item not received borea ingekuwa item not as described...
eBay seller yoyote ni reliable hata kama ana reputation ya 4 + feedback

Tena mm nanunuaga kwa wale wenye feedback kidogo maana wanauza bei rahisi ila wale wenye feedback kubwa utakuta wana overprice...

Mfano:juzi nimenunua route kwa mtu mwenye score ya 4 anauza 69$ wenzake wanauza 130-200$ same product si wizi mtupu huu...

Ni mtu kuwa serious na biashara Quishney
 
nilikuwa nafanya shopping ebay, ikabaki chenji nikaona niimalizie kwa kununua aya mrefu wa usb ili niwe nachaji simu hata nikiwa kitandani, nikanunua bwana, immediately baada ya kununua ikatokea message kuwa duka limefungwa mpaka mwezi wa nne, daaah nikajua jamaa washaniibia ila nika calm down coz nilinunua hela ndogo na nikajipa matumaini hizo ndo risk za kununua mtandaoni nikaamua kusahau kabisaa, vifaa vingine vyote vikaja in time ila uo waya ndo nkawa nshalizwa....

mie nikasahau kabisaaaa, mara siku iyo nikakuta kaparcel kangu kamekuja nikafurahi sana maana mpaka sasa hakuna item hata moja niliyoagiza isifike



kitu cha kuzingatia ni kuangalia positive feedback ya seller kabla hujanunua bidhaa
 
Nilijilipua kununua vitu alibaba vimefika vyote ila nataka kuwaliza tu
 
Duh jina hilo linatisha!!!,Ali baba? huyo ni kiongozi wa wezi 40!!! hahahahahah
 
hiyo site alibaba in kutoka china lakini nimepata habari kwamba wafanya biashara wengi na hasa wa mashariki ya kati wanapata bidhaa zao mbalimbali kutoka alibaba.com
 
Wana JF,
Ni ebay seller gani ambaye yupo reliable? yaani ukinunua items kwake kama phones, tablets hata aki ship kwa USPS zinafika? last time niliagiza tablet leo ni mwezi watatu sijapata kitu ila kani refund half payment na case imekuwa closed...

Please names of those ebay seller...

nunua kwa yeyote, ebay wanakulinda! lakini mimi kama ni kitu aghali huwa naangalia top rate seller!
 
hiyo site alibaba in kutoka china lakini nimepata habari kwamba wafanya biashara wengi na hasa wa mashariki ya kati wanapata bidhaa zao mbalimbali kutoka alibaba.com

Duh jina hilo linatisha!!!,Ali baba? huyo ni kiongozi wa wezi 40!!! hahahahahah

wachina wako vizuri ila kule nako ni kuwa makini nimenunua vitu vimefika ila pia nimelizwa tena hela nyingi

wanayo DHgate.com,aliexpress.com na for BULK buyers mara nyingi ni alibaba japo kuna reja reja
 
Back
Top Bottom