Wakuu, nahitaji kampuni ya clearing agent, waaminifu, wazoefu, sitaki bei za kubambikiwa. Pia awe na uwezo wa bargain na TRA (mtu anayehitaji huduma ana machungu na hela)
Weka mawasiliano na anwani zote hapa.
Amoeba tumekutana tena..clearing agent wengi ni wababaishaji hasa wale wenye ofisi za briefcase ndio kabisaaa..uwa natuma sana mizigo hivyo nimekutana nao sana lakini sintamsahau muhindi mmoja anajua sana sheria za kodi na bandari japo kuwa malipo yake ni juu kidogo...kuna wakati kodi ya tra na storage ilikuja kama 6ml halinikataza kuilipa alienda kuongea nao baadaye ikashuka mpaka 2.7ml ni mzuri sana..contacts zake nimepoteza lakini nawezamtafuta...otherwise tafuta agent mwenye ofisi baada ya kuongea naye wawezagundua kama ni kishoka au yupo fit...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.