Wadau, hii ni serious! Residents wa Nairobi wamechoka kabisa na garbage situation imezidi kuwa worse especially along railway line near Nairobi City Stadium pale Lusaka Road.
Ati imagine, sehemu ambayo trains hupita sasa imegeuka rubbish site full time. Trash imejaa hadi inakaribia kufunika rail line yenye bado iko active hii ni route ya commuter trains kutoka town hadi Embakasi, Syokimau, Ruiru na other maeneo.
Na hii si one isolated case bana… maeneo kama Pipeline, Dandora, Kayole, Kariobangi, na hata Juja Road zimejaa taka vibaya. Wenyeji wanasema garbage imekaa some spots for almost one year bila kuchukuliwa.
Serikali iko wapi?
Saa hii mvua imeongeza shida barabara zimekuwa muddy, zinanuka, na drainage imeblock. Risk ya diseases kama cholera na typhoid iko juu sana. Hii ni disaster in waiting!
Swali kwa Jamii:
Hii ni negligence ama system imefail kabisa? County government inafaa kuwajibika ama wananchi pia wako na blame?
Let’s talk!
Source: citizen digital