Relationship and letting go. Why I oppose this?

Relationship and letting go. Why I oppose this?

Mkuu kama your mentor alisema hivyo, na wewe ni Mentor , inamaana hata wewe unasema hivyo. Wakati mwingine hauwezi kung'ang'ania kitu ambacho kuendelea kuwa nacho kinakuletea madhara zaidi. (Japo inategemea na mazingira).


99% ya muda ni vyema to let go. Inauma na dunia huwa haituambii kuacha. Ila nimegundua mara nyingi hiyo huwa ndiyo the best solution.
 
Maybe you are right but think about this... If katika mahusiano yote kuna changamoto kibao na points ambazo mtu yeyote yule anaeza question the relationship itself, then si haina haja watu wawe na mahusiano kabisa...haswa marriage.

Mi naona mtoa mada ana point safi. Maybe holding on which is the minority opinion out there is right. Holding on is selfless and unselfish kama ile love ya Corinthians kwenye Bible vile.

Jiulizeni tu, what's the point of any relationship if it's only for the fun times?


It takes more than love for two people to be in a relationship my friend.

Letting go doesn't mean you stop loving.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom