Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,427
- 176,365
Aisee nashukuru sana, tunaanza lini sasa darasa?I more than willing to teach you, no in fact learning together voluntarily...hata mimi bado najikongoja lugha ya watu hii rafiki.
Aisee nashukuru sana, tunaanza lini sasa darasa?I more than willing to teach you, no in fact learning together voluntarily...hata mimi bado najikongoja lugha ya watu hii rafiki.
Kumbe!!My mentor alipenda kusema, "Let go to get more."
TIGO PESA: umepokea 2000000 kutoka kwa Cole kama Ada ya wewe kuwa mpenzi wake muhamala umesibitishwaKubwa zaidi ya sana.
yaaan wewe ni shida. haya mambo ya mapenzi jaman tuache tu kuwa tunashauri watu.Ni wachache honestly
Nishalishuhudia hili kwa watu wa karibu sana. Mtu anaweza akalalamika anayofanyiwa hadi chozi juu na ni vitu ambavyo kweli vinaumiza, unajikuta aunt sadaka unashaurii wee "muache, anakuumiza, anakupotezea muda blah blah blah", after a week unakuta bae kawekwa dp, unachoka akili na roho. Siku hizi mtu akinililia namwambia endelea naye tu, siku yakikufika kooni utaondoka mwenyewe. Ila kwa muda huu lia tu kadri uwezavyo hadi nafsi yako itulie teh
and we only live onceOnce u realize the relationship is no longer worthy & u r unhappy, u better let it go though it is painful utasahau na maisha yataendelea rather than kung'ang'ania matatizo
Once u realize the relationship is no longer worthy & u r unhappy, u better let it go though it is painful utasahau na maisha yataendelea rather than kung'ang'ania matatizo
Once u realize the relationship is no longer worthy & u r unhappy, u better let it go though it is painful utasahau na maisha yataendelea rather than kung'ang'ania matatizo
exactlyand we only live once
Mmmh usiingilie mapenzi ya watu kabisayaaan wewe ni shida. haya mambo ya mapenzi jaman tuache tu kuwa tunashauri watu.
hata mimi sipendi hata kuomba ushauri cause najua tu akija kugusa button fulan najikuta nimesahau vyote.
kikikikikkkkkkk
nimeona my love. utakuja sutwa mchana kweupeeeeMmmh usiingilie mapenzi ya watu kabisa
sikatai if two can compromise & be on the same page whenever issues arises that's better lakini ikifika stage huyu anaongea kichina mwingine anaongea kiyunani, hamna litakalofanyika ni bora kila mtu akafanye yakeMaybe you are right but think about this... If katika mahusiano yote kuna changamoto kibao na points ambazo mtu yeyote yule anaeza question the relationship itself, then si haina haja watu wawe na mahusiano kabisa...haswa marriage.
Mi naona mtoa mada ana point safi. Maybe holding on which is the minority opinion out there is right. Holding on is selfless and unselfish kama ile love ya Corinthians kwenye Bible vile.
Jiulizeni tu, what's the point of any relationship if it's only for the fun times?
Once u realize the relationship is no longer worthy & u r unhappy, u better let it go though it is painful utasahau na maisha yataendelea rather than kung'ang'ania matatizo
All we need ni katiba mpya tu ya mapenzi. Si mwanaume si mwanamke wote wajuaji. Iwe kwenye Dating mkataba, marriage mkataba and every kind of relationship mkataba uwepo..When you get a little hurt in your relationship, friends will tell you, let go.
Okay. Some will tell you to try and fix things or, try to make it up. But, you will see all sorts of prideful posts, let go, let go.I think this is ridiculous.
I believe really there are circumstances of letting go, but yours? Are they comparable to anyone else's? Hold on.
In Africa, that's how our mothers, teach us to live in marriage, holding on.
He snapped at you? Forgive him. Maybe you love him more than he does love you, if at all there is the love and you know how potential is the man that you are dating, love him! Your love is big enough.
If you break it off now and replace him, you will not be able to tolerate the next man because, you just don't love him as much. Hold on. And pray to God.It takes three to build a real relationship, God, a woman, and a man.
Thank you.
naunga mkono hoja tehe tehe tehe teheAll we need ni katiba mpya tu ya mapenzi. Si mwanaume si mwanamke wote wajuaji. Iwe kwenye Dating mkataba, marriage mkataba and every kind of relationship mkataba uwepo..
Once u realize the relationship is no longer worthy & u r unhappy, u better let it go though it is painful utasahau na maisha yataendelea rather than kung'ang'ania matatizo
ni wewe au kifaa utumiacho ndicho kimening'ang'ania kunijibu sanaMaybe you are right but think about this... If katika mahusiano yote kuna changamoto kibao na points ambazo mtu yeyote yule anaeza question the relationship itself, then si haina haja watu wawe na mahusiano kabisa...haswa marriage.
Mi naona mtoa mada ana point safi. Maybe holding on which is the minority opinion out there is right. Holding on is selfless and unselfish kama ile love ya Corinthians kwenye Bible vile.
Jiulizeni tu, what's the point of any relationship if it's only for the fun times?
Boraa umeongea rafiki yangu....mtu anafanya vitimbi makusudi ili muachanee....we unabakii kujigandishaaaa.....Holding on kwa anayeholdika jamani..
Kuna mtu mwingine anakufanyia vitimbi maksudi ili muachane 'cause ameshakuchoka, haoni tena thamani yako, better to let go though it hurts..