Rekodi Alizo weka Samia Suluhu.

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,027
Reaction score
20,413
Habari wakuu hapa ni baadhi ya rekodi chache Alizo weka Rais Samia suluhu.
1- Ndiye makamu wa kwanza wa kike Tanzania.
2- Ndiye Rais wa kwanza wa kike wa Tanzania.
3- Ndiye Rais aliye pita pasipo kupitia mchakato wa uchaguzi.
4- Ndiye Rais atakae ongoza muhula wa kwanza mfupi zaidi (Miaka 4).
5- Ndiye Rais wa kwanza Tanzania kutokea kwenye umakamu.
Hizo ni baadhi ya rekodi Alizo weka Je, rekodi gani nyingine Samia kaweka
 
Hapo mamba 4 ndoto yako ishindwe na wewe mwenyewe ULEGEZWE!!!
 
Karudisha amani, furaha, utulivu uliopotezwa na mwenda zake.
Zama za nduli ukiona Nissan Patrol nyeupe imeongozana na wewe, mitaa miwili au mitatu, tayari na harufu ya perfume ya kwenye gari inabadilika
 
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…